CCM ina wenyewe Mwita Mwikabe Waitara

CCM ina wenyewe Mwita Mwikabe Waitara

Waitara sijui ni mkurya wa wapi huyu asiye na msimamo.Wakurya hawako hivyo.Huyu labda ni mtoto wa ujombani!
Wakurya walikuwa zamani. Siku hizi wakurya wenye misimamo wanatafutwa kwa tochi! Afadhali Zanzibar na Mbeya, kidogo huko bado wenye misimamo dhabiti wapo wapo. Wakurya kwa sasa hawana chochote kile kimisimamo. Siku hizi midume ya kikurya inapigwa hadi na wanawake kwa wingi kuliko kabila zote Tanzania.
 
Wakuria asili yao ni jeshi, sasa Mkuria na siasa wapii wapi. Mwikabe hata viatu vya Heche hawezi kuvifunga kamba.
 
Kwa Tanzania hii bado wakurya wana msimamo zadi ya kabila yoyote. Sema wengine wanajiitwa/wanaitwa wakurya lakini baba halisi anakuwa anamjua mama wa mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuria asili yao ni jeshi, sasa Mkuria na siasa wapii wapi. Mwikabe hata viatu vya Heche hawezi kuvifunga kamba.
Ndiyo hawezi, waitara anaubishi wa maneno maneno tu yasiyokuwa na hoja yoyote ya maana. Alafu zaidi amejivuruga kwa mi-pombe, haeleweki kabisa. Sasa hivyo viatu vya Heche ataweza wapi kuvifunga kamba?! wakati hata kama hajalewa anatetemeka mwili mzima kwa sababu damu yake ina permanent alcohol content ya kutosha.
 
Kamanda umesahau kwamba Mwita alienda CHADEMA akitokea CCM. Kwa sasa yuko nyumbani kwao, au sio?
 
Kwa taarifa yako huyo unaye muita Betina amepiga bao Mbeya, shughuli zake zote hazifanyi kwa mgongo wa CCM, bali anazifanya kwa mgongo wa Taasisi yake (NGO) ya Betina Foundation. Na mpaka sasa hajatoka hadharani akatangaza atagombea Ubunge Mbeya au pahala popote, anasuburi kipenga.

Zimebaki dhania tu kwa hofu ya anayoyafanya. Kwa hofu hiyo hiyo, Diamond katinga Kigoma imekuwa nongwa.
MTOTO WAKIUME ACHA KUJISHONGONDOA AU UPO MOMBASA UNATUMIKA NINI? ET NAWEWE MWANA CCM UNGEJUA NDO NYIE WOTE MATOILET PEPA MKISHAPEWA HELA ZA KARANGA NA KUSHINDILIWA KWENYE MAFUSO UTAFIKIRI MARUMBESA YA VIAZI ULAYA KUTOKA IRINGA UCHAGUZI UKIISHA MNATUPWA KULEE
 
Vijana wa sasa wana uroho wa madaraka na tamaa sana za kupata mali kwa haraka. Imefikia sasa mtu yupo tayari hata kuua mwenzie ili tuu apate chochote kama vile yeye ataishi milele.

Kinacho sikitisha zaidi mambo haya yanafanywa na vijana wasomi ambao tulitegemea wangekuwa chachu ya Mabadiliko kwa kizazi hiki.

Chukulia mfano wa huyu jamaa Mwita Waitara. Aliaminiwa na watu wa Ukonga kupitia Chadema akapata Ubunge. Lakini akaachia ngazi na kisha akaomba tena kugombea jimbo lile lile alilo liacha kupitia CCM. Jambo hilo limeondoa kitu inaitwa Credibility yake kwa jamii. Na sasa ameanza kutapatapa akitafuta wapi atagombea mpka akaropoka kuwa anataka kugombea Tarime vijijini akapambane na John Heche wa Chadema.

Dhamira yangu ilikuwa kumuonesha Waitara CCM ina wenyewe. Mara baada bwana Waitara kutangaza nia Chama cha Mapinduzi Mkoani Mara wamesema watamuita ktk kamati ya Maadili kwa kukiuka maadili ya Chama kwa kutangaza kugombea kabla ya muda.

Wakati Waitara anaitwa Kuna kibibi fulani Betina kiko bize kinazurula na Misaraba huko Mbeya na hakuna wa kumghasi. Kile kibibi kinakusanya mpaka Wasanii na kuharibu hadi miundo mbinu ya CCM inayo waingizia pesa uwanja wa Sokoine.

Hakuna wa kumuita ktk kamati ya Maadili bnaa zaidi sana alisikika kiongozi mmoja akilalamika tuu kuwa tumekosa mapato na Mechi ya Yanga na Prison imepelekwa Iringa kutokana na uwanja kuharibiwa tunasikitika sana.

Wanasikitika hawana cha kufanya kwa kibibi kizee kile. Ila kwa Waitara wanaweza tena wamemuita ktk kamati ya Maadili. Hii ndio maana halisi ya CCM ina wenyewe. Vijana Makapuku acheni urofa ninyi CCM inawenyewe ninyi endeleeni kuwashangilia tuu wakipita na Ving'ora vyao eti na wewe unajiita Mwana ccm Damu.

Maendeleo hayana Vyamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jua kuwa Waitara alikuwa mwana CCM kabla ya kuja kwenye saccos yenu ya Chadema. Hivyo amerudi kwenye kwenye chama chake!
 
Ndani ya ccm ubaguzi upon sana tu, tulia alipaswa kuwa Wa kwanza kuitwa kwenye kamati ya maadili kwa kuanza kampeni mapema.
 
Mkuu jua kuwa Waitara alikuwa mwana CCM kabla ya kuja kwenye saccos yenu ya Chadema. Hivyo amerudi kwenye kwenye chama chake!
Sasa mbona anavunja kanuni Na miongozo ya chama kama mlevi? Au alikunywa?
 
Sasa mbona anavunja kanuni Na miongozo ya chama kama mlevi? Au alikunywa?
Mimi binafsi sijamsikia hivyo siwezi kusema amevunja kanuni inawezekana ikawa ni uongo wa mitandaoni si unajua tena mitandao ilivyo!
 
Mkuu jua kuwa Waitara alikuwa mwana CCM kabla ya kuja kwenye saccos yenu ya Chadema. Hivyo amerudi kwenye kwenye chama chake!
Kumbe CCM inaogopa sana wanachama wa Saccos mpaka wana wamiminia Marisasi majumbani kwao mkuu tena ya kivita. Ujinga mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTOTO WAKIUME ACHA KUJISHONGONDOA AU UPO MOMBASA UNATUMIKA NINI? ET NAWEWE MWANA CCM UNGEJUA NDO NYIE WOTE MATOILET PEPA MKISHAPEWA HELA ZA KARANGA NA KUSHINDILIWA KWENYE MAFUSO UTAFIKIRI MARUMBESA YA VIAZI ULAYA KUTOKA IRINGA UCHAGUZI UKIISHA MNATUPWA KULEE
Unaitwa binadamu?!?! Hoja hujibiwa kwa hoja😅😅
 
Pauline Gekuli
James ole Milya
CCM ni walaghai sana. Nauliza watu wa Arumeru sasa hivi mnakunywa maji safi na barabara zote zina lami? Yale maigizo ya mkuu wenu wa wilaya yameishia wapi?
Umewasaha dk molelli siha Joseph makundi ukerewe na Mwalimu Rioba chacha Serengeti
 
Back
Top Bottom