CCM ina wenyewe Mwita Mwikabe Waitara

CCM ina wenyewe Mwita Mwikabe Waitara

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,697
Vijana wa sasa wana uroho wa madaraka na tamaa sana za kupata mali kwa haraka. Imefikia sasa mtu yupo tayari hata kuua mwenzie ili tuu apate chochote kama vile yeye ataishi milele.

Kinacho sikitisha zaidi mambo haya yanafanywa na vijana wasomi ambao tulitegemea wangekuwa chachu ya Mabadiliko kwa kizazi hiki.

Chukulia mfano wa huyu jamaa Mwita Waitara. Aliaminiwa na watu wa Ukonga kupitia Chadema akapata Ubunge. Lakini akaachia ngazi na kisha akaomba tena kugombea jimbo lile lile alilo liacha kupitia CCM. Jambo hilo limeondoa kitu inaitwa Credibility yake kwa jamii. Na sasa ameanza kutapatapa akitafuta wapi atagombea mpka akaropoka kuwa anataka kugombea Tarime vijijini akapambane na John Heche wa Chadema.

Dhamira yangu ilikuwa kumuonesha Waitara CCM ina wenyewe. Mara baada bwana Waitara kutangaza nia Chama cha Mapinduzi Mkoani Mara wamesema watamuita ktk kamati ya Maadili kwa kukiuka maadili ya Chama kwa kutangaza kugombea kabla ya muda.

Wakati Waitara anaitwa Kuna kibibi fulani Betina kiko bize kinazurula na Misaraba huko Mbeya na hakuna wa kumghasi. Kile kibibi kinakusanya mpaka Wasanii na kuharibu hadi miundo mbinu ya CCM inayo waingizia pesa uwanja wa Sokoine.

Hakuna wa kumuita ktk kamati ya Maadili bnaa zaidi sana alisikika kiongozi mmoja akilalamika tuu kuwa tumekosa mapato na Mechi ya Yanga na Prison imepelekwa Iringa kutokana na uwanja kuharibiwa tunasikitika sana.

Wanasikitika hawana cha kufanya kwa kibibi kizee kile. Ila kwa Waitara wanaweza tena wamemuita ktk kamati ya Maadili. Hii ndio maana halisi ya CCM ina wenyewe. Vijana Makapuku acheni urofa ninyi CCM inawenyewe ninyi endeleeni kuwashangilia tuu wakipita na Ving'ora vyao eti na wewe unajiita Mwana ccm Damu.

Maendeleo hayana Vyamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako huyo unaye muita Betina amepiga bao Mbeya, shughuli zake zote hazifanyi kwa mgongo wa CCM, bali anazifanya kwa mgongo wa Taasisi yake (NGO) ya Betina Foundation. Na mpaka sasa hajatoka hadharani akatangaza atagombea Ubunge Mbeya au pahala popote, anasuburi kipenga.

Zimebaki dhania tu kwa hofu ya anayoyafanya. Kwa hofu hiyo hiyo, Diamond katinga Kigoma imekuwa nongwa.
 
Vijana wa sasa wana uroho wa madaraka na tamaa sana za kupata mali kwa haraka. Imefikia sasa mtu yupo tayari hata kuua mwenzie ili tuu apate chochote kama vile yeye ataishi milele.

Kinacho sikitisha zaidi mambo haya yanafanywa na vijana wasomi ambao tulitegemea wangekuwa chachu ya Mabadiliko kwa kizazi hiki.

Chukulia mfano wa huyu jamaa Mwita Waitara. Aliaminiwa na watu wa Ukonga kupitia Chadema akapata Ubunge. Lakini akaachia ngazi na kisha akaomba tena kugombea jimbo lile lile alilo liacha kupitia CCM. Jambo hilo limeondoa kitu inaitwa Credibility yake kwa jamii. Na sasa ameanza kutapatapa akitafuta wapi atagombea mpka akaropoka kuwa anataka kugombea Tarime vijijini akapambane na John Heche wa Chadema.

Dhamira yangu ilikuwa kumuonesha Waitara CCM ina wenyewe. Mara baada bwana Waitara kutangaza nia Chama cha Mapinduzi Mkoani Mara wamesema watamuita ktk kamati ya Maadili kwa kukiuka maadili ya Chama kwa kutangaza kugombea kabla ya muda.

Wakati Waitara anaitwa Kuna kibibi fulani Betina kiko bize kinazurula na Misaraba huko Mbeya na hakuna wa kumghasi. Kile kibibi kinakusanya mpaka Wasanii na kuharibu hadi miundo mbinu ya CCM inayo waingizia pesa uwanja wa Sokoine.

Hakuna wa kumuita ktk kamati ya Maadili bnaa zaidi sana alisikika kiongozi mmoja akilalamika tuu kuwa tumekosa mapato na Mechi ya Yanga na Prison imepelekwa Iringa kutokana na uwanja kuharibiwa tunasikitika sana.

Wanasikitika hawana cha kufanya kwa kibibi kizee kile. Ila kwa Waitara wanaweza tena wamemuita ktk kamati ya Maadili. Hii ndio maana halisi ya CCM ina wenyewe. Vijana Makapuku acheni urofa ninyi CCM inawenyewe ninyi endeleeni kuwashangilia tuu wakipita na Ving'ora vyao eti na wewe unajiita Mwana ccm Damu.

Maendeleo hayana Vyamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Tarime vijijini atachukua kiulani kwa sababu kuu mbili

1. Wananchi wamemchoka sana mbunge wao wa sasa (John Heche). Hivyo amelibaini hilo kwani wenyeji hao wana asili ya kuongozwa na mbunge kwa kipindi ki1.

2. Wenyeji wa huko wametawaliwa sana na ubaguzi wa koo. Hivyo ukitoka au ukiungwa mkono na koo kubwa kama Wairegi ni lazima ushinde. Mwita Waitara kama sikosei anatoka katika ukoo wa Wairegi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako huyo unaye muita Betina amepiga bao Mbeya, shughuli zake zote anizifanya kwa mgongo wa Taasisi yake (NGO) ya Betina Foundation. Na mpaka sasa hayatoka hadharani akatangaza atagombea Ubunge Mbeya au pahala popote, anasuburi kipenga.

Zimebaki dhania tu kwa hofu ya anayoyafanya. Kwa hofu hiyo hiyo, Diamond katinga Kigoma imekuwa nongwa.
Hilo bao labda amekupiga wewe sio wana Mbeya ninao wahamu mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako huyo unaye muita Betina amepiga bao Mbeya, shughuli zake zote anizifanya kwa mgongo wa Taasisi yake (NGO) ya Betina Foundation. Na mpaka sasa hayatoka hadharani akatangaza atagombea Ubunge Mbeya au pahala popote, anasuburi kipenga.

Zimebaki dhania tu kwa hofu ya anayoyafanya. Kwa hofu hiyo hiyo, Diamond katinga Kigoma imekuwa nongwa.
Eti kinazurura na misalaba hahah
 
Wewe timamu au hamnazo? Unaleta habari ya kufikiri hapa!!
Kwa Tarime vijijini atachukua kiulani kwa sababu kuu mbili

1. Wananchi wamemchoka sana mbunge wao wa sasa (John Heche). Hivyo amelibaini hilo kwani wenyeji hao wana asili ya kuongozwa na mbunge kwa kipindi ki1.

1. Wenyeji wa huko wametawaliwa sana na ubaguzi wa koo. Hivyo ukitoka au ukiungwa mkono na koo kubwa kama Wairegi ni lazima ushinde. Mwita Waitara kama sikosei anatoka katika ukoo wa Wairegi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom