CCM ina haki ya kujivunia ujenzi wa UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ina haki ya kujivunia ujenzi wa UDOM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Semenya, Sep 25, 2009.

 1. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  kuna thread ilitoka hapo siku za nyuma, ikidai UDOM inajengwa kisiasa.me kwamtazamo wangu, hakuna mahala popote na sehem yoyote duniani, kukiwa na kitu cha maendeleo pasipo ingiliwa na siasa.ni jambo la kawaida sana kwa chama cha siasa kujinakshi na kujisifu kwa kitu kikubwa cha maendeleo wanapokifanya. sijaona tatizo kwa CCM kujisifu kwa ujenzi wa UDOM, hata kama waliiba sera kwa CHADEMA....kwani nao wanahaki na hawazuiwi kuiga mfano wa vyama vingine ndani na nje ya nchi kwa maendeleo ya Taifa
   
 2. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ok! unakingine unachotaka kutueleza?
   
 3. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  nilikua naweka mtazamo sawa tuu mkuu
   
 4. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka Mbowe wakati wa Kampeni za Urais wakati yupo Dodoma alisema kuwa ataufanya Mji wa Dodoma uwe kitovu cha Elimu na ndiyo hivyo CCM waliiba kweli, Sasa wewe umejijibu kila kitu
   
 5. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  ila kuiba sio mbaya mkuu, me naona sawa tu ilimradi iwe na maendeleo ya taifa..hata wao kusema kuifanya dodoma iwe kitovu, ni wazo lilelile la CCM kuiweka Dom kuwa mji mkuu.
   
 6. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Semenya hujambo ndugu yangu, nakusalimu katika jina la chama.
  Umenena point.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Haina ubishi!
   
 8. Akami

  Akami Member

  #8
  Sep 29, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi najivunia kuwa mmoja wa wataalamu waliodizaini na wanaosimamia ujenzi wa chuo hicho cha Dom,ukweli utabaki pale pale ndugu yangu Semenya,CCM WAANAHITAJI PONGEZI KWA HILO!Je chuo kingejengwa Dar mgesema wameiba sera ya nani?Watanzania tujenge utamaduni wa KUAPRECIATE mtu anapofanya jambo jema,Kwa hiyo mnataka kuniambia kama CHADEMA wakisema wanataka wajenge mahospitali na barabara CCM wasijenge waache watu wafe kisa eti CHADEMA ndo wameanza kusema?

  Mbona hao CHADEMA wanasema kwa maneno tu vitendo hatuvioni? Wauze basi hata HELICOPTER yao wajenge hata chumba kimoja cha darasa tuwaone walivyo serious.

  Ukweli binafsi nawapenda CHADEMA,lakini wenzetu,mwenzenu akifanya jambo jema msifie,ikubari kzi yake ilivyo nzuri au ndo mmekuwa kama akina MPOKI na msemo wao:

  ''OMWATANI TAKWETA MUSHAIJA''

  Yaani jirani yako hawezi ku-appreciate kama wewe ni Mwanaume (Jirani yako hukudharau siku zote)
   
 9. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  upo sawa kabisa. but its like kuna kitu flani ulikuwa eitha unataka kukiweka clear au unataka kujibu.. . .
  kama ulitaka kujibu hoja ya usiasa na UDOM haina ubishi liko wazi. but nadhani kuna maelezo ya ziada ambayo stil unapaswa kutoa coz its kind of hanging thread. but nimekuwepo pale UDOM kwa siku tatu kwenye kikao flani mwishoni mwa mwezi wa 7. kasi ya ujenzi na uimara wa majengo unanipa wasiwasi, napata shaka kama kitadumu kama majengo ya zamani ya shule na vyuo vyetu. ni hatari kuharakisha chuo kwa sababu za kisiasa halafu kikakamilika kabla wa 2010 but kikaharibika kabla ya 2020.Hapo ndo ubaya wa siasa unakuja na ndo maana tunapinga ujenzi wa shule za kata(wengine wanaziita za promosheni) ambao unafanana sana na wa UDOM kwa sababu za kisiasa. Kwanini tusifanye mambo kwa umakini na ufanisi kwa faida ya miaka mingi ijayo. tutafakari
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HIVI KUMBE CHUO KINAJENGWA NA CHAMA?............

  mbona mimi nawajua wanao finance,na ninawafahamu BENEFICIARIES PIA!kwenye list yangu ya financiers sijaona kama kuna sisiemu!...........
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sometimez mazuri huigwa ;)
   
 12. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Yaani wakati mwingine haichukui mengi kujua kuwa miafrika ndivyo tulivyo.

  Huyu anajisifia kuwa mmoja wa watu waliodizaini na kusimamia ujenzi wa chuo cha Dodoma lakini at the same time anatoa hoja kama mmoja wa wale vibarua ambao walikimbia umande.

  Pesa za kujenga chuo sio za ccm kituo kikubwa. Sio kazi ya CHADEMA kuuza mali zake ili kujenga shule au kutoa huduma za jamii. Kuna matumizi ya pesa zinazoporwa toka kwa wananchi kila mwezi au kila siku kwenye manunuzi mbali mbali.

  Hizo pesa zinaitwa kodi na kazi yake ni kama hii -- kusomesha watanzania.
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  CHUO KIKUBWA,WATZ MASIKINI,MIKOPO KWA WANAFUNZI HAMNA,SASA CHUO CHA NINI?ccm wamepata pesa nje ya nchi au humu humu ndani? kama ni ndani basi ni zilezile na kwetu tunazolipa kodi zilizopotelea kwa njia ya ccm kujichotea kupitia kagoda agri.Wala wasidhani watz wanasahau tupo macho kwani tumechoka kuibiwa......wajisifu kwa wanafunzi kunyimwa mikopo ili wajiunge huko UDOM
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi sioni haki ya ccm kujivunia ujenzi wa UDOM wakati najua wazi kwamba:
  LAPF
  NSSF
  PSPF

  wana mikono yao!labda hao sisiemu wanajivunia nin?ile akili(ya kuiga) ya kuwaruhusu investors waweke hela zao pale?
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  of kozi YES!!!!!
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  CCM haiwezi kujenga chuo ila viongozi wake wana uwezo wa kugawana keki ya taifa peke yao kwa njia ya ufisadi na kuwafumbia macho.............lakioni wewe ni semenya yule tunaemfahamu wa sauzi au fotokopi????????????
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ukisema Serikali au Chama tawala yote sawa. Wanastahiki pongezi kwa hilo
   
 18. K

  Koba JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ..kama na wewe ni mmojawapo nakushauri rudi shule maana kazi mnayofanya ni ya kiwango cha chini sana na ulipuaji wa hali ya juu,hivi mnajenga University au mabanda ya ng'ombe?
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Wajivunie nini?kujenga chuo kimoja kwa dola mil25???????give me a break
  kwa taifa la watu milioni 40 na mapato ya dola milioni 400 kwa mwezi
  walipaswa kujenga vyuo kumi kwa wakati mmoja.....
  Tatizo la watanzania na ccm yenu ni kuwa wote mna mawazo madogo
  poor mentality,
   
 20. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  TUACHE NA tz YETU, WEWE IKUHUSU NINI WAKATI SIYO MTANZANIA....
   
Loading...