CCM ina haki ya kujivunia ujenzi wa UDOM

nipe nchi yenye GDP kubwa kuliko Tanzania inayojenga vyuo zaidi ya 3 tu duniani, n a yenye capacity ya UDOM.....ntafte private ntakupa dongenono.
 
aliyekwambia mie sio mtz nani?
Mbona unajishembendua bila haya???
mwenyewe umjitoa, basi kama sasa unakiri wewe ni mtanzania, basi pia kuwa na wewe una akili ndogo kama ulivyo dai mkuu? refer kwenye you comment above mkuu
 
nipe nchi yenye gdp kubwa kuliko tanzania inayojenga vyuo zaidi ya 3 tu duniani, n a yenye capacity ya udom.....ntafte private ntakupa dongenono.

kumbe we ulichotaka ni kuongea na mimi private sio?????
Ok nakuja but first hebu nithibitishie gender yako kwanza
ha ha haha.
 
kumbe we ulichotaka ni kuongea na mimi private sio?????
Ok nakuja but first hebu nithibitishie gender yako kwanza
ha ha haha.
hahahahahahahahahah
gender yangu wameniharibia jamaaa wa chama cha riadha duniani......
 
hahahahahahahahahah
gender yangu wameniharibia jamaaa wa chama cha riadha duniani......

in that case...kama ulikuwa half a woman and half a man,,
by the time i finnish with u....u will be a complete woman....100 percent.....ha ha ha
 
in that case...kama ulikuwa half a woman and half a man,,
by the time i finnish with u....u will be a complete woman....100 percent.....ha ha ha
ANGALIA TU ISIGEUKE, MAANA SIUMENONA NILIVYO WAACHA WALE WANAWAKE KATIKA YALE MASHINDANO UJERUMANI?TURUDI KWENYE MADA MKUU, ANGALAU TUNA CHUO MKUU...EMAGINE ile UDSM yenyewe inakufa na wanaoiuwa waalim wapalepale....tuombe mungu UDOM isiharibiwe na wana UDOM wenyewe kama waalim wa UDSM
 
angalia tu isigeuke, maana siumenona nilivyo waacha wale wanawake katika yale mashindano ujerumani?turudi kwenye mada mkuu, angalau tuna chuo mkuu...emagine ile udsm yenyewe inakufa na wanaoiuwa waalim wapalepale....tuombe mungu udom isiharibiwe na wana udom wenyewe kama waalim wa udsm

ishu si wingi wa vyuo na mimi nasema sio lazima wakuu wa vyuo na waalimu wawe watanzania......tuajiri anaye qualify hata kama ni mgeni......ndo solution
 
Back
Top Bottom