Mzee wa upako aache kutumia lugha ya uchochezi,maana waumini wake wanaweza kugawanyika ndani ya kanisa.hata kama viongozi wa dini watakiwa kuikosoa serikali yetu wanapaswa kutumia lugha ya staha ingawa itakuwa ina uma kwa viongozi walioko madarakani.
labda kwa vile hapati ruzuku serikalini kama ilivo kwa makanisa mengine
angekuwa anapata asingebwabwaja kihivo.
wanakwambia wamesthubutu wameweza wana songambele.....sijui wamethubutu nini? wameweza nini? wanasonga kwenda wapi?....wapumbavu kwelimi sielewi tunasherehekea nini wakati tumepiga hatua kinyumenyume
Akihojiwa huhusu mafanikio ya CCM katika miaka 50 iliyopita Mchungaji Lusekelo Mzee wa Upako amesema:"Yaani ni sawa na mtu mzima kuvaa nepi; ndiyo nepi ni nguo lakini mtu mzima akivaa nepi anakuwa kichekesho. Haya wanayodai kwamba ni maendeleo ni sawa na mtu mzima kuvaa nepi halafu akaanza kujisifia" mwisho wa nukuu Gazeti la NYAKATI jumapili Octoba 30- Novemba 5 -2011. Pamoja na kwamba mimi si mshabiki au mojawapo wa kondoo wa Mzee wa Upako naona angalizo lake hili kuhusu miaka 50 ya CCM ni chakula cha vichwa(food for thought?) vya wachambuzi hapa JF. Karibuni!
wanakwambia wamesthubutu wameweza wana songambele.....sijui wamethubutu nini? wameweza nini? wanasonga kwenda wapi?....wapumbavu kweli
saafi!Una maana gani unaposema watumie lugha ya staha? Mbona jambo hili liko wazi sana? Ukuaji wa uchumi wa nchi yetu hauwiani na utajiri wa rasilimali tulizonazo. Hivi majuzi Lukuvi amedai pato la taifa limepanda kufikia Tsh. 770,000 kwa mwaka kutoka Tsh 770 wakati wa uhuru. Hajatuambia wakati ule thamani ya pesa yetu ilikuwa na uwiano gani na dola ya marekani. Anajua kuwa thamani ya pato la mwananchi wakati wa uhuru ni kubwa kuliko sasa!
Hakuna lugha mbadala ya kumuita fisadi, mwizi nk. Serikali yetu ni legelege, hakuna lugha ya staha zaidi ya hiyo.
Una maana gani unaposema watumie lugha ya staha? Mbona jambo hili liko wazi sana? Ukuaji wa uchumi wa nchi yetu hauwiani na utajiri wa rasilimali tulizonazo. Hivi majuzi Lukuvi amedai pato la taifa limepanda kufikia Tsh. 770,000 kwa mwaka kutoka Tsh 770 wakati wa uhuru. Hajatuambia wakati ule thamani ya pesa yetu ilikuwa na uwiano gani na dola ya marekani. Anajua kuwa thamani ya pato la mwananchi wakati wa uhuru ni kubwa kuliko sasa!