Ukweli ndio huo...wapinzani wao bado wanagombana na Makaburi.CDM badilikeni acheni Uanaharakati....!
FANYENI SIASA, tambueni mahitaji halisi ya mlala hoi na jinsi gani ya kusolve..!
2025 ni Kama Kumsukuma Mlevi ...!
Iwe kwa Katiba mpya au hii hii...iwe Kwa Tume mpya au hii hii ...
Muuza mihogo ukimwambia andamana Dai KATIBA Mpya haielewi.
Lakini ukimwambia bei ya mafuta Kukaangia mihogo itashuka ukinichagua ujue umempata..!
Mtu wa Kawaida Ukimwambia 'tozo la miamala' hatuambiwi tena Zimekusanywa shin ngapi ? Na Zinaenda Wapi? Anaelewa. Amkeni Amkeni!
Lile Genge la 'Wahuni' limesusiwa Chama. Mnataka nini tena?
Hahaaa tunasubiri mda tugawane mbaokwani Sukuma hang mnasemaje
Hii kweli kabisa.Je haiwezekani wakaingia kwa njia ile ile waliyotumia?
Je nini hasa kitabadilika?
- Kwa kimemo
- Kwa kuitwa, Nileteeni Fulani?
- Kwa kutumia Nguvu!
Wapinzani bado wanagombana na kaburi la mwendazake.....Ukweli ndio huo...wapinzani wao bado wanagombana na Makaburi.
Huu ndio wakati wa kuja frontier....
Wameshafutika awapo kabisakwani Sukuma hang mnasemaje
KILA mtu ni fisadi sema hatujapata tu nafasi ya kupigaWatanzania waliokomboa nchi kibao za kusini mwa Afrika wakaenda mpaka Biafra wanashindwa vipi kuikoa nchi ya na ufisadi? Yuko jamaa kaniambia Mchungaji Msigwa alishatoa maana ya uwendawazimu. Nimajaribu kutafuta hiyo maana ya Mh Msigwa sijaipata. Moderators tusaidieni kuiweka hapa kwa ajili ya kunukuu.
Wewe ni Liquid!
Wakafanyie siasa wapi wewe ma.tacko? Hujui kwamba mikutano ya siasa imefungiwa na CCM? PuumbavuCDM badilikeni acheni Uanaharakati....!
FANYENI SIASA, tambueni mahitaji halisi ya mlala hoi na jinsi gani ya kusolve..!
2025 ni Kama Kumsukuma Mlevi ...!
Iwe kwa Katiba mpya au hii hii...iwe Kwa Tume mpya au hii hii ...
Muuza mihogo ukimwambia andamana Dai KATIBA Mpya haielewi.
Lakini ukimwambia bei ya mafuta Kukaangia mihogo itashuka ukinichagua ujue umempata..!
Mtu wa Kawaida Ukimwambia 'tozo la miamala' hatuambiwi tena Zimekusanywa shin ngapi ? Na Zinaenda Wapi? Anaelewa. Amkeni Amkeni!
Lile Genge la 'Wahuni' limesusiwa Chama. Mnataka nini tena?
Tangulia ww tupo nyuma yakoMfuate kaburini. Hayupo tena japo hutaki kuukubali ukweli
Labda ubunge sawa ila sio nchi2025 upinzani njia nyeupe, wasipochukua watapata wabunge wengi sana. Ukitaka kuingia bungeni ni rahisi kupitia upinzani anza sasa mdogo mdogo. 90% ya wabunge wa Magufuli awatorudi tena bungeni 2025.