Pole sana.Leo nimeamini 100% mkuu.
Hapo ndio kuna yule mzee wa goli la mkono, yule wa kuchakachua matokeo kule Masaki, na wazazi wao.Leo nimeamini 100% mkuu.
Sema wewe ndio umepogwa kitu kizito.🤣🤣🤣Ni Suala la muda mfupi ujao.haya niyasemayo yatadhihirika huko site.
CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya mtandao.
Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.
Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba.
Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.
Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.
Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.
Mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.
Maana wabunge 75% ni ngumu kurudi bungeni.
Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu mrudi site kujijenga.
Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.
CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.
Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa. View attachment 2170598View attachment 2170601
Ni Suala la muda mfupi ujao.haya niyasemayo yatadhihirika huko site.

Je haiwezekani wakaingia kwa njia ile ile waliyotumia?Maana wabunge 75% ni ngumu kurudi bungeni.
Watakoma🤣🤣🤣kwani Sukuma hang mnasemaje
Badilika wewe mwanaccm kwanza. Nchi si mnasema ndio wenye nchiCDM badilikeni acheni Uanaharakati....!
FANYENI SIASA, tambueni mahitaji halisi ya mlala hoi na jinsi gani ya kusolve..!
2025 ni Kama Kumsukuma Mlevi ...!
Iwe kwa Katiba mpya au hii hii...iwe Kwa Tume mpya au hii hii ...
Muuza mihogo ukimwambia andamana Dai KATIBA Mpya haielewi.
Lakini ukimwambia bei ya mafuta Kukaangia mihogo itashuka ukinichagua ujue umempata..!
Mtu wa Kawaida Ukimwambia 'tozo la miamala' hatuambiwi tena Zimekusanywa shin ngapi ? Na Zinaenda Wapi? Anaelewa. Amkeni Amkeni!
Lile Genge la 'Wahuni' limesusiwa Chama. Mnataka nini tena?
Sasa mambo hadharani mkuu.Hapo ndio kuna yule mzee wa goli la mkono, kuna yule wa kuchakachua matokeo kule Masaki, na wazazi wao.
Hao wakikutana na msaada wa tume feki ya uchaguzi, na polisi, ndio wanarudi madarakani kila siku, wale kina crimea na idugunde ni wapiga soga tu mitandaoni.
Halafu sikujua kumbe hilo kundi lina member wanawake Samia na wengine, ila yeye alikuwa kimya sana, hapa ndipo mtego uliposetiwa ukawanasa wale jamaa zangu kina Bashiru na Polepole.