Hivi Kwa akili ya kawaida kabisa, Utaanzia wapi kumfanya Mmachinga ,mkulima, aamini kua JPM alitenda vibaya??
Yaan unaanzia wapi sasa ??.
ILI UTOBOE KISIASA KWA SASA, NI LAZIMA UWE NA SIASA AMBAZO NDANI YAKE ZIMEBEBA FALSAFA ZA JPM.
Amin nawambia, JPM aliwafungua Vichwa Watanzania kiasi Cha kujua aina gan ya Rais anawafaa? Na nani ni adui Yao??.
Nakupa mfano..Leo mida ya saa 11 nilipita Soko fulan la Nguo , Mahali fulan nilisimama Kuna wazee walikua karibu 9 ivi wanamjadili Samia na Safari za Ulaya zisizoisha, na Maisha kupanda juu
Na Kwa hizi Fujo namashambulizi yao dhidi ya JPM ndo kabisaaaaaa wanajivuruga.
MAAJABU NI KWAMBA MWAKA 2025, Samia atalitumia jina la JPM kuomba Kura !!!.
K