CCM imekufa kabisa

Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.

Wengi wahao niwafuasi wakubwa wa Lowasa nawamehapa kumpigia kampeni popote alipo. Wamevaa mavazi ya Ccm lakini wanatuhimiza kura Kwa Lowasa. Niwengi mno hao mi nakutana nao sanatu.
Kwakweli tunajimaliza wenyewe.
 
Itakapofika tarehe 1 November 2015, halafu CCM bado ikawa ipo madarakani na watu wanaendelea na shughuli zao za ujenzi wa Taifa kama kawaida sijui hawa UKAWA watajificha wapi, sidhani kama kuna mmoja wao atathubutu hata kuchungulia hili jukwaa

ww kaa mkao wa kuishangilia UKAWA.Maana una macho,masikio wala kwako havina kazi.
 
Utajua 25 Oct kama ccm hipo au haipo mnajidanganya UKAWA kwamba mnaweza itoa ccm ni ndoto za mchana tumejipanga
 
Ni vizuri sasa macho yaone na masikio yasikie ndio maana kuna msemo usemao mwenye macho haambiwi tazama CCM isifikir wala kuwaza,kwamba itaendelea kuwaburuza watu.Nawaasa CCM na polisi wanaotumiwa vibaya na mafisadi kurudisha nyuma maendeleo ya watu mwaka huu msijaribu Polisi na ccm mtabaki maadui wa watu milele na sijui mtakako kwenda kujenga na kuishi ni tahadhari tu natoa.
 

Research kafanya nani..???????¿
 
Mwaka 2010 wale waliokuwa na umri wa miaka 17 hawakupiga kura, ndani ya miaka mitano kila mwaka umeongeza wapiga kura ambao majority ni wapinzani, na wazee waliokufa ndani ya miaka hiyo wamepunguza idadi ya kura za CCM. Kila anayehama hahami peke yake, anahama na familia na wafuasi wake, kama alihama mmoja na mkewe na marafiki zake, kura za CCM zimepungua na upinzani zimeongezeka. Na wengine hawajitangazi kuhama, wanaojitangaza ni wale big figures, Na wengine waliokuwa hawana muelekeo wawe upande gani hawaawezi kwenda upande unaohamwa. kwa hiyo wahamaji wanakiathiri chama.
 
Hivi kuhama watu 100,000 wanaweza kubadili matokeo ya uchaguzi katika watu 6,000,000/= kama wataweza basi hatari... Hesabu zimepata mwanafunzj makini sana.

Hivi kwenye wapigakura Milioni Ishirini na Tatu wewe unatambia Milioni sita,hujui hesabu!!!!!!!
 
Tehetehetehe. Haww jamaa wameliwa. Miaka yote walikuwa wanapiga porojo ilhali CCM ilikuwa inaongeza wanachama. Mpaka sasa CCM ina zaidi ya wanachama milioni 12 na ushee.

Sasa imekuaje kura za maoni za ccm kwa wagombea ubunge nchi nzima ziwe zaid ya 16m?
 
Watu wajinga wanadhani Lowasa ana kura za UKAWA tu.CCM nao wameapa kumpigia kura Lowasa na wamesema hatutoki ccm na wataitafuna ccm wakiwa humo humo so get prepared guys for much floods.Wengi wanasema mwenyekiti wao JK amewakera sana.
 
ccm ife tu maana hakuna namna nyingine.
 
watu hawatak kujua kwamba watapata nn,,,
wenye nch wamechoka na wame waka hasira so kwa hal kama hyo lazma iumize kchwa kwa ccm kwa ujumla,,,,
na weng wanakuja juu kwa kutetea matumbo yao rahasha hupasw kuwa hvyo kama kjana au mtu wa makamo mwenye nia na maendeleo
UKAWA NI MPANGO WA MUNGU
 
Itakapofika tarehe 1 November 2015, halafu CCM bado ikawa ipo madarakani na watu wanaendelea na shughuli zao za ujenzi wa Taifa kama kawaida sijui hawa UKAWA watajificha wapi, sidhani kama kuna mmoja wao atathubutu hata kuchungulia hili jukwaa

Hilo sahau labda wawe wameua watu kibaao kama Rwanda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…