TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Hayati Mwl.JK Nyerere alipata kuyasema haya kwa nyakati tofauti, tena kwa msisitizo'Ndani ya CCM imara Rais hawezi kutoka nje ya CCM, na Ndani ya CCM dhaifu Rais ni lazima atoke nje ya CCM yametimia na wala hakuna sababu ya kumung'unya maneno,
kama Mwl. angekuwa hai hivi sasa, na kama maigizo haya ya viongozi wa ccm yangemshinda mathalani kuyatamka mafisadi,kushindwa kuyashughulikia mafisadi,kuyageuza mafisadi kuwa masemaji ya chama jukwaani, kuendelea kuwa na viongozi wanafiki ndani ya CCM,
kuendelea kuwa na ubaguzi katika uteuzi wa viongozi wa kada mbalimbali na mengine mengi hakika Mwl angesema, 'CCM ILIASISIWA NA WATU WALIOKUWA WANATANU NA ASP, KAMWE HATUWEZI KUACHA NCHI HII IONGOZWE NA MBWA,TUTAWATAFUTA NJE YA CCM WATUONGOZE KAMA MBWA NDANI YA CCM WATAONGEZEKA'. BARABARA.
Karibuni Tuchangie falsafa hii ya Mwl JKN.