Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?
"Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity." (Martin Luther King Jr.)Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?
Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?
Viroba mixer Safari Lager @ workRais Jakaya Kikwete amekuiwa rasmi Chama Cha CCM kutokana na tabia yake ya kukumbatia wezi kama wakina Muhongo Mrema na Maswi. Hii kashfa imeiacha CCM uchi. Hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakeyeipigia tena kura CCM. Vyombo vya usalma navyo vimechoka. Wazalendo ndani ya hizi taasisi wameanza vita rasmi dhidi ya watawala. 2015 CCM inakuwa historia.
Kukinusuru chama, Rais Kikwete na uongozi wa CCM inabidi iwatose hawa wezi, vinginevyo CCM imekuwa raski November 2014. Hakuna sehemu hawa viongozi watapita kueleweka au kukubaliki. Watazomewa na kudhalilisha vibaya. Rais asiposikia, basi R.I.P CCM !
Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?
Kiukweli Hata mi ni CCM lakini duhhh,kwa hili nimekuelewa.tuna hali mbaya sna mtaani
Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?
Issue sio umeme wa bure, ni vipi uwe wa gharama kubwa namna hiii, watanzania ni maskini sana iweje leo B 321 zigawanywe kienyeji namna hii.
Tujaribu kuwa makini, tusifuate ushabiki
Unasikitisha sana.Bora ungekaa kimya tu.
Mnasikitsha nyinyi mliotiwa mkenge mkaona escrow ndio pa kutokea, wapi?
Onesheni wizi uko wapi? CAG hakuonesha, PCCB hawakuonesha.
Hoja za Zitto, ambae kwa sasa mnamuona si msaliti, zimesambaratishwa na zimeonekana kuwa zilikuwa ni uongo mtupu.
Porojo hizo, mlitaka umeme wa bure?
Una uhusiano wowote na Ashki Majununi maana naona akili zenu zina shabi ihanaPorojo hizo, mlitaka umeme wa bure?