CCM imehalalisha ukabila? Magufuli anahutubia kilugha

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
Akiwa Tabora aliongea kilugha leo Chato muda wote ni kilugha na ukabila tu sasa sielewi ikitokea Mbowe akahutubia kichaga nadhani Tanzania nzima itapiga kelele, naomba sana ukabila huu ulaaniwe vilevile tume ilivofanya kwa Lowassa. Jaji naomba ufanye haki ukabila hautakiwi kama hujui kiswahili mbona huko kwingine hakutumia kilugha?
 
Wewe kiboko akili huna, unaongelea uongozi, wakati mwenzako anaongelea ukabila, acha kujipumbaza kijinga.
 
Akiwa Tabora aliongea kilugha leo Chatto mda wote ni kilugha na ukabila tu sasa sielewi ikitokea Mbowe akahutubia kichagga nadhani Tanzania nzima itapiga kelele naomba sana ukabila huu ulaaniwe vilevile tume ilivofanya kwa Lowassa. Jaji naomba ufanye haki ukabila hautakiwi kama hjui kiswahili mbona huko kwingine hakutumia kilugha?

Hiyo ni sifa ya ziada kwamba alikuwa anajali umoja wa kitaifa tangu utotoni
 
Hutumia lugha zote kusalimia wenyeji, UMEBUGI MEEEEN!
Obama akienda nchi za kiarabi anawasalimiaga ASALLAM ALLEIKHUM, kenya aliwasalim kwa kusema NIAJE WASEE! Tz alisema MAMBO!!
Sasa unashangaa nini? umejaa ukabila tuu!
 
Kinyesi ni kinyesi tu.Yaani hujui taratibu za tume?!
 
Akiwa Tabora aliongea kilugha leo Chatto mda wote ni kilugha na ukabila tu sasa sielewi ikitokea Mbowe akahutubia kichagga nadhani Tanzania nzima itapiga kelele naomba sana ukabila huu ulaaniwe vilevile tume ilivofanya kwa Lowassa. Jaji naomba ufanye haki ukabila hautakiwi kama hjui kiswahili mbona huko kwingine hakutumia kilugha?
Kesho kapime akili yako utakuwa mgonjwa!! Unataka aongee kikazikazini??
 
Akiwa Tabora aliongea kilugha leo Chatto mda wote ni kilugha na ukabila tu sasa sielewi ikitokea Mbowe akahutubia kichagga nadhani Tanzania nzima itapiga kelele naomba sana ukabila huu ulaaniwe vilevile tume ilivofanya kwa Lowassa. Jaji naomba ufanye haki ukabila hautakiwi kama hjui kiswahili mbona huko kwingine hakutumia kilugha?

na aliejinyea hukumuona yeye!!!!!!
 
Hawa maccm kweli wako juu ya tume ya uchaguzi,wanaamua mambo wanayotaka bila kufuata taratibu walizojiwekea na kukubaliana katika tume ya uchaguzi. Hii ni hatari ya wapinzani kususia uchaguzi.
 
Nyiee komaenii na sijui kaongeaa kisukumaa dk 15 maraa oooh ukabilaaa

Wakatii wenzenuu tushaahidiwaa kuvukaa pantoni buuuurrrrrreeee:D
 
Akiwa Tabora aliongea kilugha leo Chatto mda wote ni kilugha na ukabila tu sasa sielewi ikitokea Mbowe akahutubia kichagga nadhani Tanzania nzima itapiga kelele naomba sana ukabila huu ulaaniwe vilevile tume ilivofanya kwa Lowassa. Jaji naomba ufanye haki ukabila hautakiwi kama hjui kiswahili mbona huko kwingine hakutumia kilugha?

Waonee huruma, hoja zimewakaukia. Huko ndio kutapata.
 
na aliejinyea hukumuona yeye!!!!!!

uakbila ni dalili ya kuishiwa kisiasa , naamini ikitokea mtu akasalimia kilugha upande wa ukawa watu watapasuka ,anyway sina hakika kama motheraako hujinyea labda fistula weye ndo wasema
 
Akiwa Tabora aliongea kilugha leo Chatto mda wote ni kilugha na ukabila tu sasa sielewi ikitokea Mbowe akahutubia kichagga nadhani Tanzania nzima itapiga kelele naomba sana ukabila huu ulaaniwe vilevile tume ilivofanya kwa Lowassa. Jaji naomba ufanye haki ukabila hautakiwi kama hjui kiswahili mbona huko kwingine hakutumia kilugha?

TATIZO NI KUTUMIA MSULI BILA MAARIFA!!! huku Geita...Chato...Muleba...Karagwe ..Ngara... hata hospital Madaktari huwa wanachukua history ya mgonjwa kwa kilugha ili kupata ufasaha....tembea ujionee...hii ndio Tanzania....

ASANTE SANA MAGUFULI....kwa mkutano Mzuri na watanzania wameiona CHATO...si ile yenye MIEMBE.... ASANTE SANA WANA CHATO..... SHEREHE NDIO KWANZA INAANZA.....BADO SIKU 34.... JAMAA WAMESHACHOKA!!!

CHATO FOR MAGUFULI!!!!!!
 
Back
Top Bottom