CCM imechanganyikiwa?

Salam za kufungia mwaka
 
Kwa kweli Watanzania hatujui tumemkosea nini Muumba...!

IMANI na AMANI ya Nchi inadorora..
 
Pale mpare anapoamua kukurupuka tokea usingizini na kuanza kubwata bila ushahidi embu acha kudhihirisha namna ulivyovimbiwa na makande ya huko milimani kwenu
 
mshana jr hoja yako hasa ni nini katika hoja zako nilizonukuu hapo?

mshana jr wewe ni mwanasiasa au mchambuzi wa siasa?

mshana jr umehusisha matukio ya uhalifu na siasa, lakini kwa jinsi ya bandiko zako humu JF niamini una ushahidi wa tuhuma zako hizo, ambazo ni nzito sana.


mshana jr umeuliza watanunua wangapi! Kwa hiyo una ushahidi kuwa watu ni bidhaa ya kisiasa ya kuuza na kununua! Je, hutofautiani na mtazamo wa chama chenye madai hayo! Soma mwenyewe, chapisho kutoka FB
 
Mabilion ya walipa kodi ambao wanahangaika kufuata huduma ya majin10 km yanatumika kununua wapinzani halafu mpumbavu mmoja anajinasibu kuwa tupapane na rushwa!? idiotic mind.kwa kweli
Kwani ni lazima utumie lugha hiyo (maandishi mekundu) kufikisha ujumbe wako au wewe ndivyo akili yako ilivyo! Idiotic mind
 
Inasikitisha kuona kuwa kwa kiasi fulani JK alitusogeza mbele kiustarabu lakini ghafla tumerudi nyuma sana na kuwa washamba na mazumbukuku.
Bora umekiri wewe ni mshamba na zumbukuku ila siyo mimi.
 
Naomba wale wote wananchi ambao itikadi yetu ya upinzani ni IMANI au tunaopenda demokrasia tusife moyo na tusiwaamini hawa wanasiasa vigeugeu,yaan mtu anaongea mpaka unaemsikiliza unaona aibu
Ulipompokea na kumpamba hadi kupiga deki barabara apite, ulikuwa umenyweshwa viroba!
 
mwengeso kwa sasa no comment.. Hebu tujipe muda kwenye hili.... Wakati ni hakimu mzuri... Tutakutana tena na tutakumbushana
 
Ushamba tu hivi kama kununuwa madiwani na wabunge kumzuia nchi kufirisikai
 

EL kanunuliwa?
 
Heshima ya nchi ni tunu zake km Bendera, Wimbo wa Taifa na Rais. Kwa hivyo unapomkosoa Rais fanya hivyo kwa hoja na siyo kebehi na kubeza. Naamini hutopendezwa wanao wakikukosoa hadharani kwa lugha isiyo staha na mara nyingi kwa uwongo.

Chama cha Siasa cha Rais, CCM, hutumia vikao vyake kukosoana sana na kuwachukulia hatua wanachama wanaokiuka misingi na miiko ya uanachama.

Chama cha Siasa cha Rais, CCM, kimekuwa kiikosoa Serikali yake zaidi kuliko upinzani. Rejea alichokifanya Kinana na Nape, kabla ya uchaguzi.

Chama cha Siasa cha Rais, CCM, kilisikiliza kosoa ya vyama vya upinzani na kutengeneza ilani ya uchaguzi 2015 kutekeleza hoja hizo. Serikali iliyoko madarakani kwa 100% inatekeleza hayo.

UPINZANI HAUNA UBAVU WA KULETA AGENDA MPYA KWENYE ILANI YA UCUAGUZI YA CCM, usubili 2025, kama utakuwa bado hai.
 
mwengeso kwa sasa no comment.. Hebu tujipe muda kwenye hili.... Wakati nj hakimu mzuri... Tutakutana tena na tutakumbushana

Unaheshimika sana humu kiasi siamini kuwa ungesema hivyo kwamba Wakati ni hakimu mzuri. Vipi jicho lako la tatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…