Hakuna ushahidi wa arumeru ni fununu tu na flash.
Inapokuja kwenye suala la pesa sioni mtu anayemudu kugomea kwenye jamii inayogubikwa na umasikini. Kwa maneno ya mtaani hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Na bahati ccm ambayo ndio mnunuzi wanafahamu vyema kwamba penye udhia ni kupenyeza rupia.
Ushahidi ni sababu zilizotolewa kumaliza hilo sakata. Ni hivi rais hapinagi na rushwa kama anavyotaka tuamini, bali anafanya vita vya rushwa kama sehemu ya kumpatia credit. Ila tushamjua tunamchora tu.
Ccm ni bomu lililosetiwa kuipasua hii nchi, na tukiwa peponi yeyote aliyeishabikia ccm lzm moto wa milele wa jehanamu utamchoma kudadeki zakeUshahidi ni sababu zilizotolewa kumaliza hilo sakata. Ni hivi rais hapinagi na rushwa kama anavyotaka tuamini, bali anafanya vita vya rushwa kama sehemu ya kumpatia credit. Ila tushamjua tunamchora tu.
Nimekuchokoza
Samahani kama post imekuja kwako Nilikuwa namwambia huyo aliekukosoaKwani mimi jini?
Mnamchora wewe na nani? Aliyemaliza jambo hilo kwa sababu halina mashiko ni rais au takukuru?Ushahidi ni sababu zilizotolewa kumaliza hilo sakata. Ni hivi rais hapinagi na rushwa kama anavyotaka tuamini, bali anafanya vita vya rushwa kama sehemu ya kumpatia credit. Ila tushamjua tunamchora tu.
Mnamchora wewe na nani? Aliyemaliza jambo hilo kwa sababu halina mashiko ni rais au takukuru?
Tuhuma ni zile zilizothibitishwa na kufikishwa mahakamani pekee hizo za vijiweni sio tuhuma rasmi kifupi mnyeti hana tuhuma official zaidi ya tetesi na fununu ambazo wanasiasa wengi wanazo akiwemo magufuli mwenyewe.Rais alivyompandisha cheo mtu mwenye tuhuma za rushwa hapo ndio alimaliza mchezo. Na boss wa Takukuru angefanya lolote yangemkuta yaliyomkuta Nape kwenye sakata la Makonda na clouds.
Ukitaka kujua ni siasa zinachezwa , wote tunakubaliana kuna rushwa kubwa na ndogo na ni tatizo nchi hii, nani kafikishwa mahakamani na kufungwa mpaka leo? Akina Shaka ns Gulamali juzi lilifanyika igizo la kupambana rushwa, umeona hatua? Walipokamatwa mbona hakukuwa na waliokuwa wanawagaia rushwa? Za kuambiawa changanya na zako.