mkalli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 225
- 18
Ishukuru sana CCM, bila yenyewe usingekuwa unaitwa mtanzania.
Kwa uoni wako unadhani hata najivunia kuwa Mtanzania? Mi nina Nchi yangu nikisikia unaitaja hata Moyo hua una pamp damu vizuri tu (ZANZIBAR)
Ishukuru sana CCM, bila yenyewe usingekuwa unaitwa mtanzania.
don't copy and pasteMagamba Qushney!
Bila Tanzania hakuna ZANZIBAR, kuna unguja na Pemba, sasa niambie wewe ni Unguja au Pemba?Kwa uoni wako unadhani hata najivunia kuwa Mtanzania? Mi nina Nchi yangu nikisikia unaitaja hata Moyo hua una pamp damu vizuri tu (ZANZIBAR)
CCM ipi ilomkomboa Mtanzania? Masikini ASP yangu hata hutambuliki tena na kizazi hiki cha Nape..
Jibu unalo..."Magamba"
Bila Tanzania hakuna ZANZIBAR, kuna unguja na Pemba, sasa niambie wewe ni Unguja au Pemba?
hujui hata tofauti kati ya CCM na ASP
Mtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa.
CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana!
Vila ccm usingeweza hats kupost thread yako
Mtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa.
CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana!