CCM imeanza safari ya kuelekea kuzimu

CCM imeanza safari ya kuelekea kuzimu

hauchimbwi

Member
Joined
May 2, 2015
Posts
10
Reaction score
1
Kwa kweli nimesoma kichwa cha habar kutoka gazeti la mawio nimeipenda sana hiyo kauli, nimevuta taswira ya kinana juzi kati alikuwa hapa mwanza akichambua serikali inayoongozwa na chama chake na yeye mwenyewe akiwemo maana bila cham hicho kuongozwa hivyo kinavyoongozwa hata yeye asingekuwa na pesa wala uthubutu wa kusimama hivyo alivyo, nikajiuliza je ni kinana huyu ama yule meli zake zilikamatwa zikiwa na shehena ya makontena ya pembe za ndovu.

Kwa kweli eti leo anawahurumia wananchi kuwa serikali yake sio sikivu so mim naona na yeye amekiri kuwa ccm haiwezi kutuvukisha kutoka hapa tulipo kwama means haina plan b hivyo kilichobaki ni kuitupa mbali kabisa ili wakalale na waanza kutumia pesa walizotuibia huku wakiwaza na kujiandaa kisaikolojia kwenda jela na kutaifishwa mali zote walizo chukua nje na utaratibu akiwamo yeye mwenyewe.
 
Kamakawaida watanzania tunajisahau harakamno.
 
Hapa ni kama unaongelea shamba ambalo limetelekezwa na kila kitu kimejiotea, huwezi kujua kipi ni magugu au kipi ni mazao na msimamizi ni ccm. Walipofikia ni kama wameiacha miti kama miembe, mipera, minazi nk isiyohitaji matunzo huku mazao kama migomba, mahindi, maharage, viazi nk ambayo yanahitaji mpangilio na upaliliaji yasiweze kuhimili!
Sasa kuendea kuamini katika shamba kama hili ni vigumu kwa hiyo hapa ni kufyeka magugu yote na kulima upya. Kama ikibakia miembe au minazi miwili mitatu sio mbaya lakini magugu yaondoke.
Hakuna njia mbadala ya kulinusuru shamba hili bila ya kulisafisha kwanza. Kitendo hiki cha kulisafisha ndio kuiondoa ccm!
Hebu msome Mzee Mwanakijiji CCM ivunjike tu
 
Mtasubiri sana!
Magufuli hazuiliki tena kuingia magogoni!
 
Baada ya kushindwa kumueka anayekubalika na wananchi.wameamua kumuweka ambae hawakumtarajia kabisaaa 😃😃😃😃😃Kweli bao la mkono tumelionaaaaa,lkn bora tumekosa wote wapi Membe kuleeeeee
 
Back
Top Bottom