CCM ilivyo sasa haiokoleki wala haibebeki hata kwa Machela!

Kila niitazamapo ccm hii yenye watetezi kama hawa vipofu waliojazana hapa jf kusifu wezi wa raslimali za taifa kwa ujira wa buk 7 na ahadi za ukuu wa wilaya na kila aina ya upuuzi basi nauona mwisho wa hiki chama kizee kilichokongoroka.
 
kama mkiendeleza unafiki kama mlivyofanya katika bunge lenu la Katiba la Mh Sitta basi mjue mtatawaliwa milele.

Kumbukeni kukingoa chama tawala kunahitaji utayari na umakini wa upinzani na kujipanga kwa lolote na kukabiliana nalo kwa nia ya kujikomboa.

pole sana

Kukabiliana sio lazima kuwe kwa namna unayoitarajia wewe, kuna kitu inaitwa strategy, na ndio iliyotumika. Subiri majibu. Pole na wewe
 
Kukabiliana sio lazima kuwe kwa namna unayoitarajia wewe, kuna kitu inaitwa strategy, na ndio iliyotumika. Subiri majibu. Pole na wewe

Mkuu,

Kuna kukubaliana kwa aina mbili:
1. kukubaliana kwa kukubaliana
2. kukubaliana kwa kutokubaliana.

Hiyo mikakati yako hiyo inaweza kuwa mizuri kama itazingatia muda na malengo kwa maana ya timeframe. Waswahraili wanasema ngoja ngoja yaumiza matumbo na haraka ...

SUBRA YAVUTA KHEIR. nasubiri mkuu

 
Back
Top Bottom