CCM Ileje Kwishiney !

Habari ndiyo hiyo! Hapa nipo Itumba na habari ni UKAWA tu!

Mbunge wa Ileje Bw. Kibona hana chake kabisa na amesababisha mtafaruku mkubwa baina ya wananchi na CCM wilaya na pia CCM taifa na CCM wilaya!

Vita ni wao kwa wao!! Ehe Mwenyezi Mungu endelea kuwasambaratisha mafisadi hawa!!

Janet Mbene na Kibona ni jino kwa Jino!!

Asante sana mkuu kwa taarifa njema kabsa hii, hii ni zaid ya mnara wa babeli,,, waache wazikane wao kwa wao cc tupite kati tuu,,, eeeh mwenyezi mungu nipe pumzi na afya njema nami niwe kati ya wale watakaoiona promised land ya tanzania via ukawa... eeeh mwenyez mungu tusaidie. Amen
 
Hao wanafungiwa virago kwa kuwa hawakuweza kubadilisha matokeo na kufanya unyama unaofanywa na mgambo kwa maagizo ya m/halmashauri na diwani wa Kata Rukuraijo, kijiji Kitoma jimboni Kyerwa?
 
Juliana Shonza alishupaza tu shingo; Jimbo la Ileje lilikuwa lake ukizingatia ndio nyumbani na heshima aliyokuwa amejijengea ndani ya chama kama mwanamke jasiri akijifananisha na Benazir Bhuto.
.

Huyu nae hakutofautiana sana na yule Msanii Kipara wa kike aliyekuwa CHADEMA pale Arusha jina "NAKAY"ndiye alipishana na gari lenye maela na kukimbilia CCM matokeo yake wakamtumia kama toilet paper na kumdampo hadi sasa hata hajulikani alipo.
Ndg yangu vipofu wa Mageuzi yanayokuja ni wengi na wanapozwa na tamaa. Inakuwaje umetumia muda mwingi kukijenga chama halafu dakika za mwisho unajichanganya vile.
 
Ukiona hivyo jua ni pandikizi hilo na siyo mpambanaji wa ufisadi!
 
Bila shaka CCM wataenda mahakamani kwa ajili ya mapingamizi kama ilivyo kawaida yao.
 
Back
Top Bottom