Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,786
Tunakuomba Mh Asaa Simba uje ujibu hii .Hao wabunge wa Zanzibar katika uchaguzi upi? au ule uliofutwa na JECHA?
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa wilaya hiyo Mh Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi .
amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Mh Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya zanzibar .
Hiki chama kinaumwa ugonjwa mbaya kabisa na kiko taabani icuHayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa wilaya hiyo Mh Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi .
amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Mh Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya zanzibar .
Mkuu,Hiki chama kinaumwa ugonjwa mbaya kabisa na kiko taabani icu
Nina hakika Mchonga angekuwa hai angeshajitoaMkuu,
Kama think tank ya chama iko na watu km kina Bulembo hamna wanachokosea kwenye hili,ningewashangaa km wangefanya vinginevyo.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa wilaya hiyo Mh Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi .
amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Mh Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya zanzibar .
MiaKosa Kubwa walilolifanya CCM ni kumuacha Isaya Mgulumi asimamie uchaguzi huo,walipaswa wamwite jecha aje asimamie huo uchaguzi,ccm chini ya jecha hakuna kushindwa,ni ushindi tu,wakishindwa uchaguzi unafutwa na matokeo yake yote.
Tukisema kuwa mwanachama wa ccm unapaswa uwe Taahira watu wanabisha,sasa wabunge wa Zanzibar wanaingiaje katika Halmashauri za Dar?Ni aibu na fedheha sana kujiita mwanaccm mbele ya jamii ya wastaarabu,aibu sana.Halafu watu wakisema Ukweli Nape anakimbilia kufungia Gazeti na Policcm wanakutafuta wakuweke korokoroni.
Sasa kama umeya unawatoa roho,mtatuaminisha vipi kuwa Magufuli ni mshindi halali wa Urais?Ni vigumu kwa Mwenye akili timamu kuiamini NECCCM eti ilikuwa huru na aliyetangazwa ni mshindi halali.
Nina hakika Mchonga angekuwa hai angeshajitoa
Pale ngoma ilikuwa haijanoga kama ni ugonjwa ndio ilikuwa hatua za awaliAngesha rudisha kadi wakati tu wa uteuzi wa kikwete.
Hiki chama kinaumwa ugonjwa mbaya kabisa na kiko taabani icu
Kwa uchaguzi wa Muungano au unajifanya uelewi?Hao wabunge wa Zanzibar katika uchaguzi upi? au ule uliofutwa na JECHA?
Hao wabunge wa Zanzibar katika uchaguzi upi? au ule uliofutwa na JECHA?
Tatizo nakuheshimu sana mshana, vinginevyo.....!!!!
Lakini chama dola kitakuwaje taabani mshana? Au kupandishana hasira tu.... Tuwabamize afu mseme tunawaonea