Kosa Kubwa walilolifanya CCM ni kumuacha Isaya Mgulumi asimamie uchaguzi huo,walipaswa wamwite jecha aje asimamie huo uchaguzi,ccm chini ya jecha hakuna kushindwa,ni ushindi tu,wakishindwa uchaguzi unafutwa na matokeo yake yote.
Tukisema kuwa mwanachama wa ccm unapaswa uwe Taahira watu wanabisha,sasa wabunge wa Zanzibar wanaingiaje katika Halmashauri za Dar?Ni aibu na fedheha sana kujiita mwanaccm mbele ya jamii ya wastaarabu,aibu sana.Halafu watu wakisema Ukweli Nape anakimbilia kufungia Gazeti na Policcm wanakutafuta wakuweke korokoroni.
Sasa kama umeya unawatoa roho,mtatuaminisha vipi kuwa Magufuli ni mshindi halali wa Urais?Ni vigumu kwa Mwenye akili timamu kuiamini NECCCM eti ilikuwa huru na aliyetangazwa ni mshindi halali.