CCM iko imara na Magufuli hajaleta hofu yoyote, wahoji Mbona Lowassa kasimama kuchangia makanisa?

Muraa yekhee mbane? Bamura hatuulizagi mambo ya kisaghane. Acha umbea
 
Kwa nini mchangiwechangiwe wakati mlisema nchi hii ni tajiri? Hebu acheni mambo yenu. Sasa huo ndiyo ulofa. Mnakaa mnawazaaa.... eti Lowassa yu wapi atuchangie! Better give the old boy a break!
 
Mualike kwenye harambee asipo changa ndipo aulizwe kwanini hajachanga.

Zamani hata Mialiko yote aliinunua Mpaka Sumaye na Hayati Mzee Sitta Wakalalamika wanaalikwa Mahafali ya Nursery School kwenda kuongea na Chekechea Maana Mialiko yote yote Mzee Kishalipia! Sumaye alilalamika sana kabla ya Yeye nae kufungwa Mdomo
 
Kwani lazima achangie yeye ?! Huo ulazima ni wa nini?! Mbona wewe mleta mada hujachangia hata ujenzi wa drs kijijini kwenu?! .
 
kuna usharika hapa arusha walikua wamemualika ila cha ajabu kaingia mitini.
Kajua watanzania noma ukisema nina hela ya bure wanajipanga mashehe wachungaji maaskofu na viongozi wa mila matapeli wako tayari hata kudeki barabara wanaila pesa yake wakishaila wanatokomea gizani hawamtafuti tena nadhani ushauri wangu kwake aache siasa aanzishe hata kituo cha kulea watoto albino au walemavu au awasomeshe atapata thawabu kubwa kuliko kuhudumia na kumwaga pesa Kwa matapeli wa harambee
 
mkuu,lkn huyu jamaa lifikia mpaka akawa ananunua mialiko!
 
kwa hiyo kipindi kile alikua nazo za mchezo?
Alikuwa nazo za Richmond na za marafiki zake mafisadi waliimchangia pesa za bure walizokuwa wakikwapua kupitia ufisadi Mbali Mbali kwenye serikali na mashirika ya umma wafanyakazi na wafanyabiashara mafisadi angeshika nchi ingekuwa chini ya mafisadi tu
 
Back
Top Bottom