CCM iko imara na Magufuli hajaleta hofu yoyote, wahoji Mbona Lowassa kasimama kuchangia makanisa?

Mkuu ujio wa huyu jamaa amesababisha watu tushindwe hata kununuliana bia.Namchukia sana aliye leta wazo la kuzuia uuzwaji wa viloba.Sh.3,900 ilikuwa inanitosha kabisa kupishana kwa mbwembwe na wachawi usiku.Saa hivi najizungusha tu ndani utadhani naangalia tamthilia ya Kikorea isiyo tafsiriwa.
Wewe kiboko,umenifanya nicheke hd watoto wamenishangaa maana nilikuwa naangalia tamthiliya ya kikorea
 
Achangie wakati hata akitembelea mitaani tu mnaanza kumuandama? Akichangia mnaanza kusema anatoa rushwa. Wabongo bwana! Yaani maisha yetu ni kama bongo movie fulani hivi
Angeendelea kutoa tu sasa hivi hakuna kampeni ndo ingekuwa poa
 
Wewe kiboko,umenifanya nicheke hd watoto wamenishangaa maana nilikuwa naangalia tamthiliya ya kikorea
Pole mkuu,huyu jamaa ametufanya watu tushindwe kuwa na kofidensi majumbani mwetu.
 
Back
Top Bottom