CCM iko imara na Magufuli hajaleta hofu yoyote, wahoji Mbona Lowassa kasimama kuchangia makanisa?

kuna usharika hapa arusha walikua wamemualika ila cha ajabu kaingia mitini.
Mkuu ujio wa huyu jamaa amesababisha watu tushindwe hata kununuliana bia.Namchukia sana aliye leta wazo la kuzuia uuzwaji wa viloba.Sh.3,900 ilikuwa inanitosha kabisa kupishana kwa mbwembwe na wachawi usiku.Saa hivi najizungusha tu ndani utadhani naangalia tamthilia ya Kikorea isiyo tafsiriwa.
 
  • Thanks
Reactions: mop

kunywa fanta
 
Zamani hata Mialiko yote aliinunua Mpaka Sumaye na Hayati Mzee Sitta Wakalalamika wanaalikwa Mahafali ya Nursery School kwenda kuongea na Chekechea Maana Mialiko yote yote Mzee Kishalipia! Sumaye alilalamika sana kabla ya Yeye nae kufungwa Mdomo
mkuu Pohamba punguza kidogo ukali wa maneno.Chekechea wanagombaniwa na vigogo watatu?
 
Achangie wakati hata akitembelea mitaani tu mnaanza kumuandama? Akichangia mnaanza kusema anatoa rushwa. Wabongo bwana! Yaani maisha yetu ni kama bongo movie fulani hivi
 
Achangie wakati hata akitembelea mitaani tu mnaanza kumuandama? Akichangia mnaanza kusema anatoa rushwa. Wabongo bwana! Yaani maisha yetu ni kama bongo movie fulani hivi
kuna mtu amewahi kumzuia lowasa kuchangia harambee nchi hii?
 
Sasa hivi hakuna Uchaguzi Mkuu, ukikaribia utamsikia akijipeleka makanisani na misikitini eti kaombwa kuchangia harambee,huyo ndo tapeli Lowassa ninayemjua
 
Haya ndio mawazo ya kimaskini, hujauliza mbona hatuzioni pushup? Vipi kimya kina baba Paroko?
Push up ilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa lugha ya alama kwamba yuko fit anaingia Ikulu awanyooshe mafisadi na kweli tunaona anavyozidi kuwanyoosha wamebakia kulia lia tu mara dikteta,hafuati katiba,anakurupuka..!!
 
Back
Top Bottom