Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilivyokuwa hoi kiuchumi. Ni vema ikafahamika chama kinachokabiliwa na mchoko wa uchumi, hakiwezi kufanya siasa.
Katika vielelezo hivyo nilivyopewa na msiri wangu hapa Lumumba, CCM kinaonekana kinakabiliwa na mzigo wa madeni; taasisi mbalimbali za umma, mabenki na watu binafsi zinakidai chama hiki mabilioni ya fedha.
Wakati chama kikidaiwa fedha zote hizo, Akaunti zake zimekauka. Fedha zimetafunwa kama mchwa. Anayeonekana kuwa ndiye mtia saini mkuu wa fedha za chama, ni Mwigulu Nchemba, anayejiita Mchumi Na. 1. Tufuatilie kwa pamoja.
Itaendelea kila tutakapofanikiwa kupata nyaraka nyingine.
Akaunti ya Katibu Mkuu CCM CRDB Azikiwe A/C No. 01J1028138800.
Watia Saini
Mhe. Wilson C. Mukama - aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM
Mhe. Mwigulu L. Nchemba (Mb) - aliyekuwa Katibu wa NEC - UF Ndg. Judith F. Tumbao - Mhasibu Mkuu
Salio la fedha kwa tarehe 16/11/2012 ni Shs. 5,816,806.49
Akaunti ya No. 01J1005069302. Salio la fedha tarehe 16/11/2012 ni Shs. NIL.

Mhe. Mwigulu L. Nchemba (Mb) - aliyekuwa Katibu wa NEC UF Ndg. Judith F. Tumbao - Mhasibu Mkuu
Akaunti ya Mkuu wa Utawala CCM Makao Makuu Dodoma - ipo CRDB Tawi la Dodoma A/C No. 01J1081476900.
Salio la fedha kwa tarehe 16/11/2012 ni Shs. 113,167.54
Watia saini
Mhe. Mwigulu L. Nchemba (Mb) - aliyekuwa Katibu wa NEC - UF Mhe. J.Z. Chiligati (Mb) - aliyekuwa Katibu Mwenezi.
Chama Cha Mapinduzi, kimebeba mzigo wa madeni. Msiri wangu hapa Lumumba amenidokeza kuwa chama kinadaiwa hadi na vyombo vya habari.
Kimeshindwa kuwasilisha makato ya wafanyakazi wake; madeni kutoka taasisi za fedha yamelundikana hadi kufikia zaidi ya Sh. 1.3, huku nikielezwa kuwa Akaunti zake zimefilisika. Mabilioni haya ya fedha yametafanwa na wakubwa wakiongozwa na Mwigulu Nchemba.
Soma kiambatanisho hiki hapa chini kilichotoka kwa Mwigulu Nchemba kwenda kwa Zakia Meghi. Ni wakati Nchemba alipokuwa akikabidhi madaraka ya Katibu wa Uchumi na Fedha kwa Zakia Meghji.
MAKABIDHIANO YA IDARA YA UCHUMI NA FEDHA
KATI YA MHE. MWIGULU L. NCHEMBA (MB)(MNEC)
NA MHE. ZAKIA H. MEGHJI (MB) KATIBU
WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
WA UCHUMI NA FEDHA
2. IDARA YA UCHUMI NA FEDHA
Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana mjini Dar es Salaam tarehe 27 - 29 Januari, 2004 pamoja na mambo mengine ilipitisha muundo mpya wa Idara ya Uchumi na Fedha. Awali Idara hii ilijulikana kama Idara ya Fedha na Mali za Chama. Badiliko hili la muundo linazingatia mambo yafuatayo:-
.
(a) Kwa mujibu wa Mwelekeo wa Sera za CCM katika miaka ya 2010 - 2020 na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 Chama kinatakiwa kusimamia kwa nguvu mpya Sera zake za Uchumi hususan modenaizesheni ya Uchumi na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi.
(b) Aidha suala la Vitega Uchumi na Uwekezaji katika Chama linatakiwa kupewa umuhimu na msukumo mkubwa ili kukiimarisha Chama kimapato na hatimaye kiweze kujitegemea.
HESABU ZA CHAMA NA KAMATI YA KUHAKIKI MALI ZA CHAMA
(a) HESABU ZA CHAMA
Hesabu za Chama zimekaguliwa na wakaguzi wa nje TAC-Associates kwa mwaka wa Fedha 2009/2010 na 2010/2011. Hesabu hizo zimeshawasilishwa kwa Mwenyekiti kwa ajili ya kuwekwa saini na baadaye kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Zoezi la kuziwasilisha kwenye vikao vya Chama litafuata baadaye. Kwa mujibu wa hesabu hizo, Chama kina mali zenye thamani ya Shs. 49.2bn/= hadi tarehe 30.06.2011. Thamani ya mali inashuka kila mwaka kutokana na Chama kutofanya uthamini wa mali zake. Mara ya mwisho uthamini ulifanyika mwaka 1992. Kwa hiyo Wakaguzi wameshauri kuwa Chama kifanye upya zoezi la uthamini. Kutokana na ukubwa na upana wa kazi hii, zoezi hili linahitaji wataalam wengi, kwa sababu hiyo Chama huwa kinawatumia Chuo cha Ardhi kwa kuwa wao wanawatumia wanafunzi wao katika kuifanya kazi hii na hivyo kuharakisha zoezi hilo.
(b) KAMATI YA KUHAKIKI MALI ZA CHAMA
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana Aprili, 2007 mjini Dar es Salaam iliunda Kamati ya Wataalam kwa ajili ya uhakiki mali za Chama. Majina ya Wataalam hao ni:-
(1) Ndg. Peter Machunde - Fedha na Vitega Uchumi
(2) Ndg. George Fumbuka - Fedha na Vitega Uchumi
(3) Ndg. Sam Mapande - Mwanasheria
(4) Ndg. Kanyoni Salum Kanyoni - Mhandisi
(5) Ndg. Jacquiline Noni - Mfanyabiashara
(6) Ndg. Simon Mapolu - Mchumi
(7) Ndg. Janeth Mbene - Mchumi
(8) Ndg. Ussi Faki - Mkaguzi
Katibu wa Kamati hiyo alikuwa Ndugu L.L. Burugi - Meneja Miliki wa Chama.
Kamati ilianza kazi tarehe 19/6/2007 na kukamilisha tarehe 28/10/2007. Kazi ya Kamati hii ililenga mali za Kudumu za Chama zilizopo Makao Makuu, Mikoani na katika Wilaya zilizopo kwenye Makao Makuu ya Mikoa. Aidha, zoezi hili lilihusisha pia mali za Jumuiya za Chama katika maeneo hayo pamoja na kufanya tathmini ya mwenendo wa Makampuni ya Chama.
12. BAADHI YA MADENI AMBAYO CHAMA KINADAIWA
(1) MADENI YA BENKI NA TAASISI ZA FEDHA
NBC Ltd. - 143,763,404.00
NSSF - 831,822,961.50
Ukaguzi wa Hesabu - 72,240,000.00
1,107,826,365.50
Deni la NBC ni la tangu mwaka 1994 kupitia Kampuni ya Chama TANTI kwa kuweka rehani nyumba 10 za CCM zilizoko Area C - Dodoma.
Mkopo wa NSSF unahusu Jengo la CCM Shinyanga. NSSF walimalizia kujenga Jengo. Mazungumzo yalifanyika kati ya CCM/NSSF na kufikia makubaliano ya Chama kununua Jengo hilo kwa shs. 1,109,097,282/= kiasi cha 25% kimelipwa.
Deni la ukaguzi linatokana na ukaguzi wa hesabu za mwaka 2009/2010 na 2010/2011.
(2) MADENI YA VYOMBO VYA HABARI
1. Clouds Entertainment Media Group 13,080,000.00
2. Radio Tumaini 424,800.00
3. ITV 3,778,360.00
4. Sahara Media Group Ltd 44,244,000.00
5. Sports Dream Co. Ltd 810,000.00
6. KIUTA 9,430,350.00
7. Colour Print 22,619,792.00
8. Business Times Ltd (Majira) 4,988,945.00
9. Habari Corporation 6,850,000.00
10. Mwananchi Communication Ltd 9,620,000.00
11. TSN 8,271,160.00
12. Guardian Ltd 11,702,160.00
13. TBC 7,687,360.00
14. Uhuru Publication Ltd 55,049,040.00
15. WAPO Radio 1,000,000.00
16. Zanzibar Leo 4,500,000.00
17. Raia Mwema 1,129,000.00
18. FTV Production 1,980,000.00
Jumla Tshs. 201,866,807.00