Sio Siri tena...Mziki wa Lema Arusha akiongoza Squad la CDM ndio waliofilisi kabisa CCM kutoka ktk chanzo muhimu cha hela.
Ujio wa mkurugenzi makini arusha ndio kumemalizia kabisa matumainya CCM kuwa na hela ,na mbaya zaidi hata majiji mengine CDM ndio wameshika na kuifanya CMC ikose pumzi kabisa..
Tusubiri kusikia mapato ya Arusha kupanda tuu,kwani mwizi anayo kazi.Sasa wakapige mishemishe Wizarani tuu.
Hadi 2015 CDM itakuwa imemaliza kazi ya kuiwekea CCM vikwazo vya kifedha kabisa na kuingia ktk uchaguzi CCM ikiwa haina kitu.