choga mkuu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 283
- 110
Vijana Wa ccm na wafuasi wao wamekuwa wakishambulia sana halmashauri na manispaa Zinazoongozwa na vyama vinavyounda UKAWA , lakin wakashindwa kujifikiria kuwa halimashaur na manispaa zilizo chin ya UKAWA zinatoa Huduma bora zaid kias kilichopelekea wananchi kuanza kuzikimbia halimashar zilizo chin ya ccm kwa kutopewa msaada . mfano MKOA WA DODOMA wote uko chin ya ccm lakin wananchi wamekimbilia DAR ES SALAAM kwenye manispaa zilizo chin ya ukawa, maana wanajua ukawa wanauwezo wakuwasaidia kwa namna mbali mbali. Nawasilisha