MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Hili limejidhihirisha leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar! Sikuamini kama watanzania leo wameamua kwa yakini kabisa kwamba hawaitaki CCM!Sio kuhudhuria kwenye mkutano tu bali ni pamoja na mwotikio wao wa salamu kwa viongozi waliokuwepo jukwaani.
Nduguzanguni hata wale mlioko CCM mkubali tu kwamba haya ni mabadiliko ya wazi na hayana mpinzani, mkubali kubadili fikra zenu maana ukweli ndio huo na kuendelea kuing'ang'ania ccm ni kupoteza muda
Nduguzanguni hata wale mlioko CCM mkubali tu kwamba haya ni mabadiliko ya wazi na hayana mpinzani, mkubali kubadili fikra zenu maana ukweli ndio huo na kuendelea kuing'ang'ania ccm ni kupoteza muda