Huo muda wa kuongea porojo nyingi ni tabia za watu wenye kupenda kusema uongo na kudanganya! sema machache then chukua hatua sio unaongea mpaka unaishiwa sauti alafu historia inakuhukumu kwa tabia zako za kuahidi uongo kila uchaguzi!Nchi haichukuliwi kwa hotuba ya dakika kumi mwambie akagombee ujumbe wa shina
Nchi haichukuliwi kwa hotuba ya dakika kumi mwambie akagombee ujumbe wa shina
Nchi haichukuliwi kwa hotuba ya dakika kumi mwambie akagombee ujumbe wa shina
Mwenye akili ndogo ni yule asiejua ni nini kiu ya watanzania! Huwezi kusema una akili ya kupambanua mambo huku miaka 54 ya Uhuru wanawake wanajifungulia Chini,Huna ndege hata moja ya abiria unachekwa mpaka na majirani zako. Funguka ndugu toa utando ndani ya macho yako.Ukiwa na akili nyepesi utasumbuliwa sana na matukio. Ni kama desi tu. Wewe unaweza kuangamiza hata vizazi vyako kwa kukosa kuelewa mambo kwa picha pana.
Nchi haichukuliwi kwa hotuba ya dakika kumi mwambie akagombee ujumbe wa shina
Mwenye akili ndogo ni yule asiejua ni nini kiu ya watanzania! Huwezi kusema una akili ya kupambanua mambo huku miaka 54 ya Uhuru wanawake wanajifungulia Chini,Huna ndege hata moja ya abiria unachekwa mpaka na majirani zako. Funguka ndugu toa utando ndani ya macho yako.
Tanzania mineno mireeeefu-kenya walishatuambia kitambo. Short and clear speeches that we need. Vitendo vinahitajika sasa. Go go go Lowassa!!