Mzee Wa Sumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 643
- 68
Nyerere si alimkataa lowasa na ccm wanzmfuata Nyerere mbona kwa Hili wanamkumbatia lowasa
Kiukweli Lowasa ni kamanda ambaye maamuzi yake yamejaa udhubutu.Anasimamia maamuzi yake na karama amejaliwa kuweza kuona mbele.Aliamua kuvuta maji ya ziwa Victoria kwenda Kahama ingawaje mataifa hayakuafiki mpango huo,alitaka kujenga barabara ya lami kupita mbuga ya Ngorongoro / serengeti, Shule za Kata,maji Chalinze kutoka Mto Wami, kujiuzuru uwaziri mkuu-kuwajibika,nk.Kuna watanzania wengi wana rasilimali nyingilakni kugawana kidogo na wengine hawawezi ila kujilimbikizia.Mtazamo wa karibu inaonekana anajikomba komba kwenye jamii ili achaguliwe kuwa Rais ajaye.Zamani hata katoliki iliendeshwa kwa misaada toka Ulaya lkn kwa sasa misaada imekoma.Kila taasisi lazima ijiendeshe ndo maana harambee zimekuwa nyingi.Na ni ukweli usiopingika ili upate fedha ni lazma mgeni rasmi lazma auzike na waalikwa waone mvuto wake
The Next President Of The United Republic Of Tanzania His Excellency Honourable Edward Lowassa 'Maestro' yaani ni suala la muda tu kabla hatujaingia Magogoni...Tumaini Letu