CCM Huu ni UDINI wa aina yake

CCM Huu ni UDINI wa aina yake

Kweli basi Lowassa ni mdini, manake kaichangia misikiti mingi tu. Angalia post yangu nyingine
Umejiuliza kwa nini pesa zake hazimwagi kwa vikundi vya vijana, au wakina mama wajasiriamali, au vijijini ku promote kilimo, au kwenye nyumba za kutunza wasiojiweza?

Hao si wahitaji?

Kwa nini kwenye vikundi vya dini (wakristo kwa waislamu)?

Kuna ajenda yoyote ya kutaka kukubalika na waumini wa dini hizo? Kwa nini asilenge kukubalika na vijana au akina mama n.k.?

Tafakari.
 
Acheni wivu wa kike na kunung'unika kama mmevunja ungo juzi, Lowassa ni Mkristo, ushiriki wake kanisani unawauma wapi? Oilcom anavyowajengea misikiti yake ile asiyoruhusu wanawake kuingia, kuna mtu amehoji kwa nini? Haya.......

7.jpg

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akikabidhi msaada wa
Tshs milioni 5 kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA) SHeikh Salum Sung'he kwa
ajili ya kuendeleza mipango kazi ya BAMITA.

(Unaona Sheikh alivyoinama kwa adabu?)

4.jpg

Katibu Mkuu wa BAMITA akizungumza na waandishi wa habari akimshukuru Mh. Lowassa

(Bila shaka kamsifia pia)

LOWASSA1.jpg

Lowassa huyu ndio unayemzungumzia?

LOWASSA5.jpg

Lowassa ndani ya RED CARPET, nafikiri unaona aina ya watu waliopanga mistari ili tu kupata fursa ya kushikana mkono na Mheshimiwa Noti. Wengine wanaandaa simu zao wapate picha ya mheshimiwa. Wake upande huu, waume zao upande huu. Watoto watakuwa nje.....mbona raha!

LOWASSA2.jpg

Huyu ni Askofu?

LOWASSA3.jpg

Wahasibu wetu hao......tunawaamini.

LOWASSA7.jpg

Hata Redio yetu, Radio Imaan....nayo imechangiwa!

Lowasa+mufti.JPG

Mheshimiwa huwa hagawi tende jamani hizo ni ANKRA

IMG_5817.JPG

Edward 'Maestro' Lowassa....cheka naye maisha yabadilike.

maulid5.jpg

Akwiiiii! Muru ingine nasaniaga masai hafui kandambuga.....haba ago peku nafanya ibada

3.jpg

Wanaosema wewe sio ndugu yetu wana lao jambo.

NOTE: Tuache wivu wa kike, majungu na roho za manung'uniko. Hata Kinana anagawa fedha kila anapopita, tofauti ni kwamba Lowassa anataka mumrudie Allah na Jehova ilhali Kinana anawapeni mkanywe pombe.

Ni dhahiri kwamba, Lowassa anatoa fedha penye miradi ya maendeleo na si kwamba anazigawa tu watu wakanywe viroba. Kasi yenu ya shughuli za maendeleo ndio ita-determine kiasi gani mtapata kutoka kwa Mheshimiwa.

Lowassa Hoyeeeeee!

Lowassa.jpg

Edwars Ngoyai 'Maestro' Lowassa

kamua baba misikiti ing'ae

Jamani pesa kweli inatafutwa..Huu si usanii kabisa!!!
kwangu mimi hii ni HARAM..
Watu wanachezea nyumba za ibada..Laana inakuja..
 
Jamani pesa kweli inatafutwa..Huu si usanii kabisa!!!
kwangu mimi hii ni HARAM..
Watu wanachezea nyumba za ibada..Laana inakuja..
Umejiuliza kwa nini pesa zake hazimwagi kwa vikundi vya vijana, au wakina mama wajasiriamali, au kwenye nyumba za kutunza wasiojiweza?

Hao si wahitaji?

Kwa nini asisaidie shule zilizojengwa na serikali vifaa vya maabara na vitabu?

Kwa nini asisaidie mashine za X ray au vifaa vingine kwenye hospitali zetu za serikali ambazo zinadorora kwa kukosa vifaa hivyo?

Kwa nini kwenye vikundi vya dini (wakristo kwa waislamu)?
 
Exactly, that is my point!

Lowasa oyèeeeee!!
Cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
mheshimiwa edward lowassa, watu wanakutaja sana kuwa una nia ya kugombea urais.

Wakati huo huo unasikika ukihaha kila kona ya tanzania ukitembelea makanisa na misikiti mbalimbali na kutoa misaada mikubwa mikubwa kwa mahitaji mbali mbali ya makanisa na misikiti hiyo kama ambavyo umeripotiwa na vyombo vya habari hapa chini:

kanisa lamuandalia tuzo lowassa

filikunjombe, ligola wajitosa kambi ya lowassa, wamnadi kanisani iringa. | dullonet tanzania

mzee wa mshitu: Lowassa ashiriki harambee ya kanisa akyeri meru

mbeya yetu: Lowassa achangia milioni 10 kanisa la eagt tunduma mbeya

lowassa ajiweka mbali na kampeni arumeru,ajikita kanisani..

msamaa.

lowassa amwagia fedha kanisani ~ mwanafasihi mahiri

lowassa kuongoza harambee ya kanisa nyakato mwanza | fikra pevu | kisima cha busara!

mh. Lowassa aongoza harambee ya kununua basi la kwaya la kanisa la kkkt,msasani jijini dar ~ father kidevu

waziri mkuu awamu ya nne achangisha sh100 kanisani dar es salaam. ~ juma mtanda

habarimpya.com - kanisa lazidi kumtumia lowassa katika harambee

lowassa aendesha harambee kanisa la moravian mbezi beach dar | blog ya habari tanzania | online newspaper | thehabari.com

misikitini nako:

Kutokana na haya ninapata maswali yafuatayo:

1. Je mh. Lowassa, unatarajia kulipwa kura na wakristo hao ambao unawasaidia kwa vihela hivyo?

2. Je huu si udini kwa kiongozi anayetarajia kugombea urais kutumia nyumba za ibada kupata umaarufu wa kisiasa?

3. Je haya yangefanywa na mwanasiasa asiye wa chama tawala ingezua mjadala gani?

Let us call a spade a spade. Kama ni udini tuuite udini bila kujali mtu huyo ni wa chama gani.
mbona misikiti kamwaga sana mpunga...mpaka kule mwanza akasifiwa sana katika harambee ya kuchangia uanzishwaji wa redio ya kiislamu.........
 
watu hawako huru kufikiri kitu kikiwagusa hawako kukubali ukweli ndio huo ni udin unafikir watashindwa kulipa fadhira na MoU ilisaniwa chini yake siwez kushangaa leo akiwaongezea za kwake
hii ni dhambi ya kisiasa mkuu, haina uhusiano na dini. Hoja nzuri, ila imeegemea kusiko!!
 
Umejiuliza kwa nini pesa zake hazimwagi kwa vikundi vya vijana, au wakina mama wajasiriamali, au kwenye nyumba za kutunza wasiojiweza? Hao si wahitaji? Kwa nini kwenye vikundi vya dini (wakristo kwa waislamu)?

Think big!
swali langu hujajibu. kwa kutoweka michango ambayo mtu huyohuyo amefanya misikitini unataka kuleta picha gani? what's your motive kwa kuweka link hizi zingine ukitia kapuni?

by the way naona mtego wako umenasa wengi kati ya uliowakusudia ila ujue ufanyalo ni dhambi!
 
kama lowasa anasifa na msafi kwanini anatumia nguvu sana kusaka urais? kipindi kile waziri mkuu mbona hakufanya hivyo? kwa nguvu anazotumia basi hafai chema chajiuza kibaya chajitembeza
 
swali langu hujajibu. kwa kutoweka michango ambayo mtu huyohuyo amefanya misikitini unataka kuleta picha gani? what's your motive kwa kuweka link hizi zingine ukitia kapuni?

by the way naona mtego wako umenasa wengi kati ya uliowakusudia ila ujue ufanyalo ni dhambi!
Kwa nini hatusikii anasaidia hospitali za serikali zenye uhaba wa vifaa?

Kwa nini hatusikii anasaidia shule za serikali maabara, ukarabati n.k.?

Kwa nini hasaidii shughuli za kiuchumi za vikundi vya wasiojiweza?

Kwa nini iwe kanisani na misikitini?
 
mbona misikiti kamwaga sana mpunga...mpaka kule mwanza akasifiwa sana katika harambee ya kuchangia uanzishwaji wa redio ya kiislamu.........
Na hiyo pia nimehoji, rudi kwenye hoja yangu juu utaona.
 
swali langu hujajibu. kwa kutoweka michango ambayo mtu huyohuyo amefanya misikitini unataka kuleta picha gani? what's your motive kwa kuweka link hizi zingine ukitia kapuni?

by the way naona mtego wako umenasa wengi kati ya uliowakusudia ila ujue ufanyalo ni dhambi!
Michango ya msikitini nimeitaja pia.

Naomba unijibu na mimi. Kwa nini hasaidii na hospitali na shule za serikali? Kwa nini hasaidii makundi maalum yanayohitaji msaada kama vijana wanaotafuta ajira, akina mama, walemavu n.k.?

Kwa nini nia njema yake aielekeze kanisani na misikitini?
 
Nafikiri hujafanya uchunguzi wa kutosha,Lowasa kamwaga fedha hadi misikitini na waislam wakamvalisha kanzu na kilemba..
Acha umburura,siyo misikitini sema msikitini,only msikiti mmoja,tena wa Bakwata,wazee wa kuhujumu uislam, bt angalia makanisa yalivyokuwa mengi.Mwambieni Lowasa toka awali tumeshamjua kuwa ni mdini,na aendelee kuwa hivyo,kura za kanisani pekee zinaosha kumwingiza ikulu asiwe na wasiwasi. Na bora aendelee huko huko kama mi mwongo aende mtambani,au kichangani au kwa mtoro,au idrisa,au tungi nk aone habari yake.
 
Kwa nini hatusikii anasaidia hospitali za serikali zenye uhaba wa vifaa?

Kwa nini hatusikii anasaidia shule za serikali maabara, ukarabati n.k.?

Kwa nini hasaidii shughuli za kiuchumi za vikundi vya wasiojiweza?

Kwa nini iwe kanisani na misikitini?
Hii hoja haiwezi kujibiwa.
 
Mwiba hutokea ulipoingilia! NI WANASIASA NDIO WALIOINGIZA UDINI KATIKA SIASA, NA SASA MWANASIASA LOWASSA ANAJARIBU KUUTOA MWIBA NA HARAMBEE ZAKE ZISIZO NA UDINI. BIG UP OUR NEXT PRESIDENT, MHESHIMIWA LOWASSA!
 
Back
Top Bottom