Kutokana na vuguvugu linaloendelea huko wilayani Nyasa imemlazimu Mbunge wa jimbo hilo ndg. John Komba kukimbia vikao vya bunge na kurudi jimbo wiki iliyopita. Hadi mchana huu wagombea 3 wa vitongoji wa CHADEMA katika kijiji cha Kihagara wamepita bila kupingwa katika kijiji na kitongoji alichozaliwa mbunge cha Lituhi CCM haikuwa na mgombea hali iliyomlazimu mbunge kwenda haraka kununua mtu wa kitongoji kingine ili ajaze fomu.
Ppingamizi limeshaandaliwakatika kijiji cha Ukuli kata ya Kingerikiti mgombea wa CHADEMA uenyekiti wa kijiji hana mpinzani yaani amepita bila kupingwa baada ya CCM kukosa mgombea katika kijiji cha Dar pori, CCM pia haina mgombea.
Nitaendelea kuwajuza maana hadi jioni ndio tutapata taswira ya jumla kwa sababu kuna baadhi ya kata bado taarifa zake hazijapokelewa.
Nyasa ipi pengine kunanyasa nyingine kule marangu ila siyo hii tuijuayo.
Mwisho wa uongo ni aibu, mods akikisheni mnaondoa huu uongo uliodhahiri kabisa kwani katika wilaya tajwa hapo juu CCM imesimamisha viongozi wote katika ngazi zote na huo ni uzushi uliodhahiri kabisa!
Hivi vijana wa Bavicha mnadanganya kwa faida gani? Mnadanganya ili mpate nini? Mwisho wa huo uongo ni nini?
Ni bora kuandika ukweli ingawa unauma kuliko kuandika uzushi ambao unalaaniwa na Mungu hapa duniani na ahera pia!