CCM hoi wilaya ya Nyasa

CCM hoi wilaya ya Nyasa

Kutokana na vuguvugu linaloendelea huko wilayani Nyasa imemlazimu Mbunge wa jimbo hilo ndg. John Komba kukimbia vikao vya bunge na kurudi jimbo wiki iliyopita. Hadi mchana huu wagombea 3 wa vitongoji wa CHADEMA katika kijiji cha Kihagara wamepita bila kupingwa katika kijiji na kitongoji alichozaliwa mbunge cha Lituhi CCM haikuwa na mgombea hali iliyomlazimu mbunge kwenda haraka kununua mtu wa kitongoji kingine ili ajaze fomu.

Ppingamizi limeshaandaliwakatika kijiji cha Ukuli kata ya Kingerikiti mgombea wa CHADEMA uenyekiti wa kijiji hana mpinzani yaani amepita bila kupingwa baada ya CCM kukosa mgombea katika kijiji cha Dar pori, CCM pia haina mgombea.

Nitaendelea kuwajuza maana hadi jioni ndio tutapata taswira ya jumla kwa sababu kuna baadhi ya kata bado taarifa zake hazijapokelewa.

UPDATE
Kitongoji cha Mkalole Kijiji cha Namgombo Kata ya Kilosa ccm wamekosa mgombea

We unajitekenya halafu unacheka mwenyewe.
 
na watafanya la maana sana kama watatuondolea hicho kinyesi kinachoitwa komba pale bungeni. kazi kulala tu. pambafu zake.

Kutokana na vuguvugu linaloendelea huko wilayani Nyasa imemlazimu Mbunge wa jimbo hilo ndg. John Komba kukimbia vikao vya bunge na kurudi jimbo wiki iliyopita. Hadi mchana huu wagombea 3 wa vitongoji wa CHADEMA katika kijiji cha Kihagara wamepita bila kupingwa katika kijiji na kitongoji alichozaliwa mbunge cha Lituhi CCM haikuwa na mgombea hali iliyomlazimu mbunge kwenda haraka kununua mtu wa kitongoji kingine ili ajaze fomu.

Ppingamizi limeshaandaliwakatika kijiji cha Ukuli kata ya Kingerikiti mgombea wa CHADEMA uenyekiti wa kijiji hana mpinzani yaani amepita bila kupingwa baada ya CCM kukosa mgombea katika kijiji cha Dar pori, CCM pia haina mgombea.

Nitaendelea kuwajuza maana hadi jioni ndio tutapata taswira ya jumla kwa sababu kuna baadhi ya kata bado taarifa zake hazijapokelewa.

UPDATE
Kitongoji cha Mkalole Kijiji cha Namgombo Kata ya Kilosa ccm wamekosa mgombea
 
Huku baraa arusha wamesimamisha shoga robson
 
Back
Top Bottom