chishango
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 852
- 350
Kutokana na vuguvugu linaloendelea huko wilayani Nyasa imemlazimu Mbunge wa jimbo hilo ndg. John Komba kukimbia vikao vya bunge na kurudi jimbo wiki iliyopita. Hadi mchana huu wagombea 3 wa vitongoji wa CHADEMA katika kijiji cha Kihagara wamepita bila kupingwa katika kijiji na kitongoji alichozaliwa mbunge cha Lituhi CCM haikuwa na mgombea hali iliyomlazimu mbunge kwenda haraka kununua mtu wa kitongoji kingine ili ajaze fomu.
Ppingamizi limeshaandaliwakatika kijiji cha Ukuli kata ya Kingerikiti mgombea wa CHADEMA uenyekiti wa kijiji hana mpinzani yaani amepita bila kupingwa baada ya CCM kukosa mgombea katika kijiji cha Dar pori, CCM pia haina mgombea.
Nitaendelea kuwajuza maana hadi jioni ndio tutapata taswira ya jumla kwa sababu kuna baadhi ya kata bado taarifa zake hazijapokelewa.
UPDATE
Kitongoji cha Mkalole Kijiji cha Namgombo Kata ya Kilosa ccm wamekosa mgombea