Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,926 Reaction score 4,110 Sep 6, 2022 #61 4 7mbatizaji said: CCM ni chama ila walioko humo ni matatizo, inataka reform ,ila nani wa kufanya? Majanga matupu Click to expand... Katiba,katiba,katiba!
4 7mbatizaji said: CCM ni chama ila walioko humo ni matatizo, inataka reform ,ila nani wa kufanya? Majanga matupu Click to expand... Katiba,katiba,katiba!
Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,926 Reaction score 4,110 Sep 6, 2022 #62 Allen Kilewella said: Tatizo wewe unaandika tu ili muda wa kula ukifika ule. Huna cha kupoteza kwa uhuni huu unaofanywa na CCM. Click to expand... Mbaya zaidi anakaa kwa dada ake.Daah!
Allen Kilewella said: Tatizo wewe unaandika tu ili muda wa kula ukifika ule. Huna cha kupoteza kwa uhuni huu unaofanywa na CCM. Click to expand... Mbaya zaidi anakaa kwa dada ake.Daah!
Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,926 Reaction score 4,110 Sep 6, 2022 #63 mavumbi said: Kwa Tanzania, chama ni msimamizi wa serikali- maana ndio kilichowaweka hao madarakani. Lakioni bora hata Chama kinasema, hao tuliowchagua kama wawakilishi wetu (Bunge) ambao ndio wanaotakiwa kuisimamia serikali, pumba hovyo kabisa. Click to expand... Wanakufanyia mazingaombwe na wewe unaamini? Hao wanajua wanachokifanya. Usiku hukaa pamoja na kigonga cheers
mavumbi said: Kwa Tanzania, chama ni msimamizi wa serikali- maana ndio kilichowaweka hao madarakani. Lakioni bora hata Chama kinasema, hao tuliowchagua kama wawakilishi wetu (Bunge) ambao ndio wanaotakiwa kuisimamia serikali, pumba hovyo kabisa. Click to expand... Wanakufanyia mazingaombwe na wewe unaamini? Hao wanajua wanachokifanya. Usiku hukaa pamoja na kigonga cheers