Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,763
- 50,234
- Thread starter
-
- #21
Hayo ya kuwasema wana CCM wenzake hakuna anayejali. Lakini kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali, ni kutojiheshimu.Mkuu Allen,
Kinana amaesema viongozi wa Chama wawe qwakali kwa watendaji - hilo ni chagizo kwamba hebu msikae kimya tuu kwa mambo yanavyofanywa na watendaji serikalini. Again mkuu, kwa hali ilivyo Tz hapa acha wamsaidie Bi Mkubwa
Chadema ipi?Ngoja chadema na wananchi tuanze mikutano ya hadhara hakuna wa kuzuia Sasa maana ni KWa mjibu wa katiba, itafanyika , tumekua wapumbavu Yani ccm ifanye mikutano kana kwamba nchi ya kwao wengine hakuna, panueni Magereza ,shame on you
Bora sema kutomheshimu mkuu wa serikali ..labda!Hayo ya kuwasema wana CCM wenzake hakuna anayejali. Lakini kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali, ni kutojiheshimu.
Usipomheshimu mwingine ni lazima kwanza wewe mwenyewe usijiheshimu.Bora sema kutomheshimu mkuu wa serikali ..labda!
CHADEMA ni CHADEMA tu.Chadema ipi?
Hii inaonyesha viongozi hawana Terms of Reference kwa hivyo hawajui malengo na mipaka yao ya madaraka waliyopewa.Hata hapo kwenu mkuu,kuna kipindi madiwani walijianzishia ziara kutembelea miradi bila mawasiliano na Mkurugenzi wa manispaa.
Mkurugenzi aliwapiga spana za kwenye makomwe yao wakatulia.Hii inaonesha ni kwa kiwango kipi bado miongozo na taratibu za uongozi na utendaji ambavyo hauleweki kwa baadhi yao.
Wanahitaji kupewa elimu.Ukikutana na mtekelezaji/mtendaji jeuri anakuaibisha jua la saa sita.
Chadema ipi?
Katika hili Katiba iko vizuri tu, ila CCM hawaiheshimu!!Kuna kitu kinaitaji kubadilishwa kwenye Katiba au katiba mpya
Kwa akili ipi uliyonayo?Sijaelewa
CCM inapokea kutoka serikalini taarifa ya utekelezaji wa ilani kupitia kikao maalum cha CCM na Serikali. Chama kinatakiwa kutumia vikao hivyo kutoa maelekezo kwa Serikali na sio viongozi wake kuvamia watendaji vijijini na kuagiza wanachofikiria wao bila kuzingatia chain of command.Muwe mnaelewa ndugu zangu vitu vyepesi na Rahisi Kama hivi, CCM ndio iliyounda serikali baada ya kuchaguliwa na watanzania, CCM ndio iliyoomba kura kutoka kwa wananchi, CCM haikuundwa na serikali Bali CCM ndio iliyounda serikali iliyopo madarakani, CCM ndio itakayokwenda kwa wananchi kuwaeleza imefanya Nini na imetekeleza Nini kulingana na ilivyoahidi katika uchaguzi uliopita
CCM ndio itakayopita majukwaani na mitaani Tena kuomba kura na Ridhaa ya wananchi, Sasa kwanini isikague utekelezaji wa ilani yake? Kwanini usiende kusikiliza kero za wananchi? Kwanini isiwasemee wananchi walioichagua na kuiweka madarakani? Unataka Nani afanye kazi hiyo? Unataka ikae tu ofisini? Unataka ikaseme Nini uchaguzi ujao Kama isipojuwa kinachoendelea na kufanywa na serikali yake?
CCM ndio iliyoingia mkataba na wananchi wa kuwatumikia kwa nguvu zake zote, Sasa kwanini isifuatilie utekelezaji wa mkataba wake wa kiutumishi? Unataka ivunje mkataba huo halafu one inyimwe kura Kama adhabu?
Tuiache CCM ifanye kazi yake na nyinyi subilini uchaguzi ujao mtawaeleza hayo wananchi ili muone Kama watawaelewa maana watanzania wa leo siyo wajinga na hawawezi kumpa mtu uongozi anayekaa ofsini muda wote
Chama kinachojielewa hakiwezi kiwe kimekaa tu kinasubiri taarifa mezani, wewe huwezi ukawa kiongozi mzuri maana utadanganywa kwa mengi Sana weweCCM inapokea kutoka serikalini taarifa ya utekelezaji wa ilani kupitia kikao maalum cha CCM na Serikali. Chama kinatakiwa kutumia vikao hivyo kutoa maelekezo kwa Serikali na sio viongozi wake kuvamia watendaji vijijini na kuagiza wanachofikiria wao bila kuzingatia chain of command.
Umeipata hoja yangu kirahisi sana. Mfumo ni chama kutumia vikao vyake, full stop.CCM inapokea kutoka serikalini taarifa ya utekelezaji wa ilani kupitia kikao maalum cha CCM na Serikali. Chama kinatakiwa kutumia vikao hivyo kutoa maelekezo kwa Serikali na sio viongozi wake kuvamia watendaji vijijini na kuagiza wanachofikiria wao bila kuzingatia chain of command.
Sasa waende wapi wakati CCM yenu inaogopa wasifanye mikutano ya hadhara?kumpa mtu uongozi anayekaa ofsini muda wote
Acha bangeSerikali inatekeleza Ilani ya CCM so ni lazima Komredi Kinana awakague
Angeenda Tundu Lisu ndio tungemuona ana kiherehere
Ulishaona kule marekani uchaguzi ukiiisha walioshindwa wanaanza kuzurula mitaani kupiga soga za kuitukana serikali Kama mnavyotaka hapa nchiniSasa waende wapi wakati CCM yenu inaogopa wasifanye mikutano ya hadhara?
Sana.Ulishaona kule marekani uchaguzi ukiiisha walioshindwa wanaanza kuzurula mitaani kupiga soga za kuitukana serikali Kama mnavyotaka hapa nchini
Sana.
Baada ya kuchaguliwa hakuna mtu anayezuiliwa kufanya siasa, ila wale tamaduni zao zimeshavuka kiwango cha mikutano ya hadhara. Leo Trump anazunguka Marekani nzima atakavyo na hazuiliwi.
Mbona unajipiga mtama mwenyewe?? CCM kimejaa watu waoga sana!!Kwani huku Tanzania hamdhululi mitaani na matisheti yenu ya katiba mpya vifuani mwenu?