Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,745
- 50,154
Kwani wanaotekeleza maagizo ya Kinana si wako chini ya Rais? Ni kama Kinana anapoka madaraka ya Rais.Bora huyo Kinana aendelee hivyohivyo ana faida kuliko viongozi wa serikali, na siku akitamka tozo zinaumiza wananchi utaona zitafuta haraka.
Nchi hii anayemzidi cheo Kinana ni Rais tu.
Huwezi kuelewa... Vimo vimetofautiana.Sijaelewa
Hata hapo kwenu mkuu,kuna kipindi madiwani walijianzishia ziara kutembelea miradi bila mawasiliano na Mkurugenzi wa manispaa.Kitendo cha kuwa na wanasiasa wanayoiongoza Serikali lakini kiongozi wa chama cha siasa kinachoiongoza hiyo serikali kuanza kutoa maelekezo kwa watendaji wa serikali, ni dalili kwamba chama kilichoko madarakani hakijiheshimu...
Bahati nzuri kwao, watendaji wengi Serikalini ni wana CCM wenzao.Ukikutana na mtekelezaji/mtendaji jeuri anakuaibisha jua la saa sita.
CCM ni chama ila walioko humo ni matatizo, inataka reform ,ila nani wa kufanya? Majanga matupuKitendo cha kuwa na wanasiasa wanayoiongoza Serikali lakini kiongozi wa chama cha siasa kinachoiongoza hiyo serikali kuanza kutoa maelekezo kwa watendaji wa serikali...
Tatizo wewe unaandika tu ili muda wa kula ukifika ule. Huna cha kupoteza kwa uhuni huu unaofanywa na CCM.Serikali inatekeleza Ilani ya CCM so ni lazima Komredi Kinana awakague
Angeenda Tundu Lisu ndio tungemuona ana kiherehere
Mwagito anasubiri muda wa kupalilia vinyungu uishe akale fitofu alivyoachiwa!😂😂😂😂Tatizo wewe unaandika tu ili muda wa kula ukifika ule. Huna cha kupoteza kwa uhuni huu unaofanywa na CCM.
Usimchukulie poa, hao ndiyo walao na kulala kwenye nyumba ya Faraoh!!Mwagito anasubiri muda wa kupalilia vinyungu uishe akale fitofu alivyoachiwa!😂😂😂😂
Ili ujue chama kimechokwa hapa Bukoba ziara yake ilipokelewa na vijana wa skauti,hakuna mtu mzima aliyesumbuka na ziara hiyo mbali na chawa wao wa CCM.Kitendo cha kuwa na wanasiasa wanayoiongoza Serikali lakini kiongozi wa chama cha siasa kinachoiongoza hiyo serikali kuanza kutoa maelekezo kwa watendaji wa serikali, ni dalili kwamba chama kilichoko madarakani hakijiheshimu.
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, hakuna mahali popote panapotoa fursa kwa chama Kilichoko madarakani kuisimamia serikali nje ya mfumo rasmi. Mambo ya Viongozi wa CCM kujifanya wanaikagua serikali kama inatekeleza mambo yao, ni uvunjivu wa Katiba na ishara kwamba CCM haijiheshimu.
Ziara za Kinana ni kama zinaonesha kwamba Msimamizi Mkuu wa Serikali kashindwa kuisimamia serikali hivyo Kinana sasa anafanya kazi hiyo. Kinana anatoa maagizo kwa serikali kwa mamlaka gani aliyo nayo?
Kama CCM ingekuwa inajiheshimu ingemzuia Kinana kufanya anachofanya kwani kinaidhalilisha serikali wanayoiongoza na kitendo hicho pia kinaonesha Msimamizi wake Mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania anayetokana na chama chao, hatimizi majukumu yake ipasavyo.
Serikali inatekeleza Ilani ya CCM so ni lazima Komredi Kinana awakague
Angeenda Tundu Lisu ndio tungemuona ana kiherehere
Kiufupi Ziara ya kinana inaonesha jinsi CCM isivyowaamini na kuwaheshimu waliowapa kazi ya kuongoza serikali yetu.Sema tu mfumo wa chama Cha CCM ni mbovu.
Kwa Tanzania, chama ni msimamizi wa serikali- maana ndio kilichowaweka hao madarakani. Lakioni bora hata Chama kinasema, hao tuliowchagua kama wawakilishi wetu (Bunge) ambao ndio wanaotakiwa kuisimamia serikali, pumba hovyo kabisa.Kitendo cha kuwa na wanasiasa wanayoiongoza Serikali lakini kiongozi wa chama cha siasa kinachoiongoza hiyo serikali kuanza kutoa maelekezo kwa watendaji wa serikali, ni dalili kwamba chama kilichoko madarakani hakijiheshimu.
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, hakuna mahali popote panapotoa fursa kwa chama Kilichoko madarakani kuisimamia serikali nje ya mfumo rasmi. Mambo ya Viongozi wa CCM kujifanya wanaikagua serikali kama inatekeleza mambo yao, ni uvunjivu wa Katiba na ishara kwamba CCM haijiheshimu.
Ziara za Kinana ni kama zinaonesha kwamba Msimamizi Mkuu wa Serikali kashindwa kuisimamia serikali hivyo Kinana sasa anafanya kazi hiyo. Kinana anatoa maagizo kwa serikali kwa mamlaka gani aliyo nayo?
Kama CCM ingekuwa inajiheshimu ingemzuia Kinana kufanya anachofanya kwani kinaidhalilisha serikali wanayoiongoza na kitendo hicho pia kinaonesha Msimamizi wake Mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania anayetokana na chama chao, hatimizi majukumu yake ipasavyo.
Kiufupi Ziara ya kinana inaonesha jinsi CCM isivyowaamini na kuwaheshimu waliowapa kazi ya kuongoza serikali yetu.
Kimfumo kuna huo utaratibu wa chama kuisimamia serikali. Hapa ni kwamba CCM inafanyakazi za serikali.Kwa Tanzania, chama ni msimamizi wa serikali- maana ndio kilichowaweka hao madarakani. Lakioni bora hata Chama kinasema, hao tuliowchagua kama wawakilishi wetu (Bunge) ambao ndio wanaotakiwa kuisimamia serikali, pumba hovyo kabisa,
Mkuu Allen,Kimfumo kuna huo utaratibu wa chama kuisimamia serikali. Hapa ni kwamba CCM inafanyakazi za serikali.