Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,536
- 643
Mambo sivyo yalivyo ndugu. Kulikuwa na kazi ya kuondoa mgando uliokuwa umejengwa vipindi vya nyuma. Watu walizuiwa kufahamu yaliyokuwa yanatokea duniani, (mf TV) etc. Sasa wengi ccm inaojivunia hadi sasa bado wapo vijijini ambapo hali haijabadilika sana. Labda ccm ihakikishe kuwa inaendelea kuwafungia watu kama enzi za nyerere, vinginevyo, hata watu wanaojidai kuwa wako makini, inabidi waangalie wasianguke!
Tanzania ya leo sio ya jana!
Tanzania ya leo sio ya jana!