kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,655
- 17,134
Ni vigumu na muujiza kumvua sato baharini. Simuoni aliyemsafi ndani ya CCM, sio Mkapa, Mwinyi, Mangula, Msekwa, Kinana, Kingunge, Malecela, Msuya wala Lowassa, Magufuli, Mwandosya, N.K. Kilimo kimekufa, viwanda vimekufa, elimu imekufa, reli zimekufa, ndege zimekufa, afya imekufa, ajira imekufa, ushirika na masoko vimekufa, shilingi yetu imekufa mikononi mwa CCM. EPA, Richmond, uuzaji wa viwanda, nyumba za serikali na wanyamapori hai, Escrow, na meremeta je?
Kilichobakia hai nchini ni jeshi tu la JWTZ. Huu sio wakati wa wananchi kuanza kudanganywa na kuaminishwa kuwa yuko msafi na asiye msafi ndani ya CCM.
Mkapa na Mwinyi wana usafi gani wa kuwawezesha kuwanyooshea kidole walio wachafu ndani ya CCM?
Maoni yangu ni kuwa CCM chague yule mwenye watu wengi zaidi ndani na nje ya CCM bila kujali anapendwa kwasababu gani, vinginevyo, nabii wa Nyerere utatimia vere suni.