Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa...
CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala matumaini ya ule urijali wake wa kibabe
Bundi ametua kwenye paa la chama chawala.. Bundi ni ndege awezaye kunusa harufu ya kifo toka mbali kwenye nyumba yenye mgonjwa anayeelekea kifoni.. Bundi huja kuweka kikao karibu na hapo akitarajia mzoga wa marehemu baada ya kifo
Kwa spidi ile ile mwaka 2024 umelala na CHADEMA na kwa spidi ile ile mwaka 2025 umeamka na CHADEMA..kama ni upper punches na knockouts CCM mbele ya CHADEMA imezipata za kutosha sana.. Basi tu ni kwa vile refa ana huruma nyingi na mbeleko kubwa. Lakini tayari muda huu CHADEMA wangeshavikwa taji lao
Hakuna tena kitu kinaitwa ccm midomoni mwa watu hasa Watanganyika..
Hata makada wake maarufu mitandaoni na nje ya mitandao wote wametekwa na kimbunga kikali cha CHADEMA!
Hizi ni dalili za anguko kuu na la mwisho la kilichowahi kujulikana kama CHAMA Dume mbabe wa fitina na majungu
Hakuna tena kitakachoirudisha CCM hewani maana tayari jahazi lake linaishia kuzama na kama ni mgonjwa ni yule mahututi anayepigania pumzi yake ya mwisho isitoke kwa maumivu
Ccm hii iliyoshinda 99% serikali za mitaa, unasema kwamba imelala chali?
Ccm haioni umuhimu wa vyte vyama vya upinzani. Kuna kelele zimetokea miaka hii haswa za mitandao, huwezi kwenda nazo sawa.
Tukutane October mshana.
CCM imepoteza mvuto kwa jamiii kilichobaki ni kutumia vyombo vya dola kubaki madarakani pia vyama vya upinzani haviaminiki tena hakuna upinzani wa kweli wanatupa kazi kuwamini ndomana wanachi wamekosa lakufanya
Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa...
CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala matumaini ya ule urijali wake wa kibabe
Bundi ametua kwenye paa la chama chawala.. Bundi ni ndege awezaye kunusa harufu ya kifo toka mbali kwenye nyumba yenye mgonjwa anayeelekea kifoni.. Bundi huja kuweka kikao karibu na hapo akitarajia mzoga wa marehemu baada ya kifo
Kwa spidi ile ile mwaka 2024 umelala na CHADEMA na kwa spidi ile ile mwaka 2025 umeamka na CHADEMA..kama ni upper punches na knockouts CCM mbele ya CHADEMA imezipata za kutosha sana.. Basi tu ni kwa vile refa ana huruma nyingi na mbeleko kubwa .. Lakini tayari muda huu CDM wangeshavikwa taji lao
Hakuna tena kitu kinaitwa ccm midomoni mwa watu hasa Watanganyika.. Hata makada wake maarufu mitandaoni na nje ya mitandao wote wametekwa na kimbunga kikali cha CDM!
Hizi ni dalili za anguko kuu na la mwisho la kilichowahi kujulikana kama CHAMA Dume mbabe wa fitina na majungu
Hakuna tena kitakachoirudisha ccm hewani maana tayari jahazi lake linaishia kuzama na kama ni mgonjwa ni yule mahututi anayepigania pumzi yake ya mwisho isitoke kwa maumivu
CHADEMA KIMEIFUTURU CCM BILA BISMILLAH..!
sucker punch ππΏView attachment 3202263
Mkuu Mshana Jr wale wana-ccm nguli na wasiopenda rushwa na figisu kama mzee Warioba, Butiku na wengine wanamwombea Lissu kila la heri....kwa manufaa mapana ya Taifa letu
Kwa umoja wetu naomba tumpe pole mleta mada, Kwakweli ccm inamtesa huyu mtu kuliko kitu chochote kile. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, punguza spidi hiyo Kuna wazee utawaua Huku.
Unahitaji 'F' Moja tu ya kiswahili au maarifa ya jamii kuelewa mateso makali ya mleta mada. Unahitaji 'A' 7 za physics, maths, chemistry, biology, geography, agriculture, BAM na book keeping Ili kuielewa mikakati ya ccm. Ikipungua hata Moja katika hizo, utaishia kubwabwaja bwabwaja tu.
Dada yangu nikiwaangalia Chadema ni kama watu waliorukwa na akili.
Ccm imeshinda serikali za mitaa kwa 98% sasa ije mitandaoni kutukanana na vichaa kutafuta nini?
General election Samia anakwenda kushinda kwa kura nyingi, japo siipendi ccm ila huo ndio ukweli wenyewe.
Kosa kubwa Chadema wamelifanya uchaguzi wao wa ndani kuwa mwaka huohuo na uchaguzi mkuu, damage itakayotokea hata kupata Wabunge ni issue, Urais wasahau kabisa.
Ccm ni master wa siasa, wanaweka uchaguzi wa serikali za mitaa kwanza kupima upepo, halafu ndio unakuja uchaguzi mkuu, wakimaliza kushija doka ndio wanakuja uchaguzi wa chama.
Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa...
CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala matumaini ya ule urijali wake wa kibabe
Bundi ametua kwenye paa la chama chawala.. Bundi ni ndege awezaye kunusa harufu ya kifo toka mbali kwenye nyumba yenye mgonjwa anayeelekea kifoni.. Bundi huja kuweka kikao karibu na hapo akitarajia mzoga wa marehemu baada ya kifo
Kwa spidi ile ile mwaka 2024 umelala na CHADEMA na kwa spidi ile ile mwaka 2025 umeamka na CHADEMA..kama ni upper punches na knockouts CCM mbele ya CHADEMA imezipata za kutosha sana.. Basi tu ni kwa vile refa ana huruma nyingi na mbeleko kubwa. Lakini tayari muda huu CHADEMA wangeshavikwa taji lao
Hakuna tena kitu kinaitwa ccm midomoni mwa watu hasa Watanganyika..
Hata makada wake maarufu mitandaoni na nje ya mitandao wote wametekwa na kimbunga kikali cha CHADEMA!
Hizi ni dalili za anguko kuu na la mwisho la kilichowahi kujulikana kama CHAMA Dume mbabe wa fitina na majungu
Hakuna tena kitakachoirudisha CCM hewani maana tayari jahazi lake linaishia kuzama na kama ni mgonjwa ni yule mahututi anayepigania pumzi yake ya mwisho isitoke kwa maumivu
Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa...
CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala matumaini ya ule urijali wake wa kibabe
Bundi ametua kwenye paa la chama chawala.. Bundi ni ndege awezaye kunusa harufu ya kifo toka mbali kwenye nyumba yenye mgonjwa anayeelekea kifoni.. Bundi huja kuweka kikao karibu na hapo akitarajia mzoga wa marehemu baada ya kifo
Kwa spidi ile ile mwaka 2024 umelala na CHADEMA na kwa spidi ile ile mwaka 2025 umeamka na CHADEMA..kama ni upper punches na knockouts CCM mbele ya CHADEMA imezipata za kutosha sana.. Basi tu ni kwa vile refa ana huruma nyingi na mbeleko kubwa. Lakini tayari muda huu CHADEMA wangeshavikwa taji lao
Hakuna tena kitu kinaitwa ccm midomoni mwa watu hasa Watanganyika..
Hata makada wake maarufu mitandaoni na nje ya mitandao wote wametekwa na kimbunga kikali cha CHADEMA!
Hizi ni dalili za anguko kuu na la mwisho la kilichowahi kujulikana kama CHAMA Dume mbabe wa fitina na majungu
Hakuna tena kitakachoirudisha CCM hewani maana tayari jahazi lake linaishia kuzama na kama ni mgonjwa ni yule mahututi anayepigania pumzi yake ya mwisho isitoke kwa maumivu
Ccm hii iliyoshinda 99% serikali za mitaa, unasema kwamba imelala chali?
Ccm haioni umuhimu wa vyte vyama vya upinzani. Kuna kelele zimetokea miaka hii haswa za mitandao, huwezi kwenda nazo sawa.
Tukutane October mshana.
Mkuu Mshana Jr wale wana-ccm nguli na wasiopenda rushwa na figisu kama mzee Warioba, Butiku na wengine wanamwombea Lissu kila la heri....kwa manufaa mapana ya Taifa letu
Kwa umoja wetu naomba tumpe pole mleta mada, Kwakweli ccm inamtesa huyu mtu kuliko kitu chochote kile. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, punguza spidi hiyo Kuna wazee utawaua Huku.
Unahitaji 'F' Moja tu ya kiswahili au maarifa ya jamii kuelewa mateso makali ya mleta mada. Unahitaji 'A' 7 za physics, maths, chemistry, biology, geography, agric
Your browser is not able to display this video.
ulture, BAM na book keeping Ili kuielewa mikakati ya ccm. Ikipungua hata Moja katika hizo, utaishia kubwabwaja bwabwaja tu.