CCM haina wanachama milioni 13

Hawafiki hata laki saba
 


Misukule ndo mingi na si watu walio hai kichwani
 
Waliposema wana wanachama milioni kumi na tatu ilikuwa ni maandalizi ya kisaikolojia ili kura ziibwe.Stay alerted!
 
Mim nakuambia ngoja siku ya kupiga kura..utajionea maajabu ...10% tu watapiga kura...tena Hawa watakua mapumbaza ya ccm na wajinga wajinga wasio na akili.
 
Sasa mkuu unataka hao wanachama milioni 13 wahudhurie kila mkutano.
 
Mikutano ya huyu bibie inajazwa na watu wa msafara wake tu na wale wachache wanaowasomba kwenye malori...

Wanachofanya ni recycling...

Watu waliokuwa Morogoro mjini ndio haohao utawakuta Ifakara, Mikumi au Kilosa na ndio hao watakuja mpaka Kigoma na kila sehemu watakakokwenda....

Ndio maana wanachoka na kuanguka hovyo. Mwisho tutaanza kuokota maiti zao, subirini tu...

Yaani hawa jamaa wanadanganya watu na mwisho wanajidanganya wenyewe...!!
 
Jukwaa limefungwa hila hamuachi kuleta mada chochezi
Mnatutaka nn jmn😆
 
Hizo takwimu ni uchakachuaji wa taarifa za NIDA, hawakujua wataumbuka
 
Namba1.ccm n kama jeshin n ndiyo t.namba 2 lazma kchwan uwe kopo tupu. Namba 3 lazma uwe na akili kama zako.
 
Hehehe
 
huenda wapiga kura zaidi ya milioni 31 wakampigia kura Dr.Samia Suluhu Hassan oct.29,2025.🐒
Gentleman hii idadi ndio mliipanga kwenye vikao vyenu vya Siri? Inaendana sana n tume ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…