CCM haina mwenyewe, zengwe alilofanyiwa Lowassa kuna mtu mkubwa atafanyiwa bila kutarajia kwenye kura za maoni 2020

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,601
2,000
Wakuu nawasalimu kwa upendo mkuu!
Napenda kumkumbusha Jiwe kuwa asijione kafika ndani ya CCM, atashangaa na hataamini atakapoona utaratibu wa wanachama wa kukaa kimya na kususia form za kugombea urais pindi Rais aliyeko madarakani anagombea kwa mara ya pili ukibadilika.

2020 WanaCCM watajitokeza kuchukua form ili waingie kwenye kura za maoni na mtasikia huko jinsi kura zitakapohesabiwa mara nyingi. Maana matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM 2020 yataishangaza nchi zaidi ya ilivyokuwa 2015.
 
Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
972
1,000
Kwa wanaofaham siasa za Tanganyika enzi za TANU hadi Tanzania ya CCM, mwenyekiti wa Chama mara zote huwa ndiyo Rais wa Nchi, kwahiyo ni mtu mwenye kila kitu kuanzia vyombo vyote vya dola n.k
Kwahiyo sio rahisi kwa yeye Rais kukubali kuwa kiongozi term moja kwani tayari ana mamlaka zote za uteuzi kuanzia chamani hadi Serikalini.
Ingawa kwa hali ya kisiasa, kiuchumi, kijamii iliyopo nchini kila mtu angependa kuona jambo hili likitokea. Na itapendeza zaidi hata system ingeingilia kati kufanikisha jambo hili ili kunusuru Uchumi na ustawi wa nchi kiujumla kabla hatujaifikia Zimbabwe.
 
Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
3,382
2,000
Wakuu nawasalimu kwa upendo mkuu!
Napenda kumkumbusha Jiwe kuwa asijione kafika ndani ya CCM, atashangaa na hataamini atakapoona utaratibu wa wanachama wa kukaa kimya na kususia form za kugombea urais pindi Rais aliyeko madarakani anagombea kwa mara ya pili ukibadilika.
2020 WanaCCM watajitokeza kuchukua form ili waingie kwenye kura za maoni na mtasikia huko jinsi kura zitakapohesabiwa mara nyingi. Maana matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM 2020 yataishangaza nchi zaidi ya ilivyokuwa 2015.
Moderators msiufute huu uzi mpaka kura za maoni zipgwe August 2020.
Unajidanganya. CCM haitabadili gia 2020 maana haina uwezo huo...labda 2025 wakati wa kurithisha mtu mambo yatakataa
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,389
2,000
Acha kuropoka vitu usivyo vijua,ccm ni chama makini sana,hakiendeshwi kwa lamli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi shule ukajifunze kuandika na kusoma
Ni ramli sio lamli
Umakini ndio huu umbumbumbu wenu hahahh mna safari ndefu
safari hii mtahesabu fito dammit!
Endeleeni kufuga nyani mwituzzzzzz!
Nguvu ya umma ni silaha tosha kuutoa udhalimu wa sisiem
 
Mgoroko

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
692
500
Rudi shule ukajifunze kuandika na kusoma
Ni ramli sio lamli
Umakini ndio huu umbumbumbu wenu hahahh mna safari ndefu
safari hii mtahesabu fito dammit!
Endeleeni kufuga nyani mwituzzzzzz!
Nguvu ya umma ni silaha tosha kuutoa udhalimu wa sisiem
Kwa majibu yako umedhiirisha kuwa wewe ni kweli mpiga lamli,ccm ilikuwepo na itaendelea kuwepo milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,144
2,000
Toka usingizini mkuu kusha kucha sasa.
Unazan kuna aliye na maamuzi zaidi ya mwenyekiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu nyerere alishindwa Mara 2 kumweka salimu Ahmed salimu.

Mwinyi (mwenyekiti)alishindwa kumweka malecela

Mkapa( mwenyekiti)alishindwa kumweka kigoda MTU wake

Jk alishindwa kumweka membe

Kwa kila kitu kinawezekana katika mazingira tofauti
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
6,500
2,000
Vijana wahamasishwe wakapige kura kwa wingi...wakiiba mabeberu wanaingilia kati..full stop
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,769
2,000
Umesahau mwenyekiti wa 2015 aalivyogeuziwa kibao na wanachama kwa kupiga teke chaguo lake?
Lile lilikuwa 'Igizo' Mkuu

Dola ilishaamua John Magufuli awe Rais kabla ya Januari 2015

CCM haijawahi kukutana Dodoma kupiga kura za kupeleka Jina NEC ikiwa haijui nani atakuwa Rais

Majina yote matano yaliyopigiwa kura yalitoka kwa Rais Kikwete
Na Kila jina liliwekwa kwa sababu Maalum

Januari na Benard Membe waliwekwa Kwenye Tano bora ili wafuasi wa Lowassa badala ya kususia mchakato wajikute wanarudi kwa hasira kupiga kura za kuwakata hivyo Akidi kutimia kisheria Na kupunguza hasira wajione Na wao wamemkomoa 'Kikwete'

'Kosa' kubwa lilikuwa ni mihemko ya Kina Emmanuel Nchimbi, badala ya kususia mchakato ili Akidi kisheria isitimie wao wakavaba wakaenda 'kumkomoa' Jakaya
 
NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,357
2,000
mwenyekiti, rais na amiri jeshi mkuu walipaswa kuwa watu watatu lakini Leo ni mmoja.

rais akichukua fom lazima ashinde.
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Wakuu nawasalimu kwa upendo mkuu!
Napenda kumkumbusha Jiwe kuwa asijione kafika ndani ya CCM, atashangaa na hataamini atakapoona utaratibu wa wanachama wa kukaa kimya na kususia form za kugombea urais pindi Rais aliyeko madarakani anagombea kwa mara ya pili ukibadilika.
2020 WanaCCM watajitokeza kuchukua form ili waingie kwenye kura za maoni na mtasikia huko jinsi kura zitakapohesabiwa mara nyingi. Maana matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM 2020 yataishangaza nchi zaidi ya ilivyokuwa 2015.
Moderators msiufute huu uzi mpaka kura za maoni zipgwe August 2020.
Kwa hali iliyofikia hao wenyewe ni sawa na mwanamke mjane,watapenyea wapi? We unawaza uchaguzi 2020,mwenzio anawaza Miaka saba na itapita.Kipi wabunge wa ccm wamewahi zuia kisipite.
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Huyo Jamaa amehamia jumla si wa kutoka Leo wala kesho kwa hisani ya Jirani.Atapiga saba saba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom