Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Wakuu nawasalimu kwa upendo mkuu!
Napenda kumkumbusha Jiwe kuwa asijione kafika ndani ya CCM, atashangaa na hataamini atakapoona utaratibu wa wanachama wa kukaa kimya na kususia form za kugombea urais pindi Rais aliyeko madarakani anagombea kwa mara ya pili ukibadilika.
2020 WanaCCM watajitokeza kuchukua form ili waingie kwenye kura za maoni na mtasikia huko jinsi kura zitakapohesabiwa mara nyingi. Maana matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM 2020 yataishangaza nchi zaidi ya ilivyokuwa 2015.