CCM haina mwenyewe, zengwe alilofanyiwa Lowassa kuna mtu mkubwa atafanyiwa bila kutarajia kwenye kura za maoni 2020

Hiyo ndio demokrasia sasa,sio Chadema tunajua mwenyewe ni Mbowe. Kidumu chama cha mapinduzi kwa kukosa mwenyewe bali ni chama cha wananchi.

always positive
 
UZUSHI MTUPU

hayo ni matamanio yako binafsi halafu siku nyingine usirudie kumfananisha mzalendo wa kweli na fisadi papa.....gademittttttttttt
Mzalendo wa kweli nani.. yule mwizi wa trillion 1.5 ...ndiye unamuita mzalendo

Itakuwa unatania mkuu
 
Wakuu nawasalimu kwa upendo mkuu!
Napenda kumkumbusha Jiwe kuwa asijione kafika ndani ya CCM, atashangaa na hataamini atakapoona utaratibu wa wanachama wa kukaa kimya na kususia form za kugombea urais pindi Rais aliyeko madarakani anagombea kwa mara ya pili ukibadilika.

2020 WanaCCM watajitokeza kuchukua form ili waingie kwenye kura za maoni na mtasikia huko jinsi kura zitakapohesabiwa mara nyingi. Maana matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM 2020 yataishangaza nchi zaidi ya ilivyokuwa 2015.
Na sisi tunakusalimia kwa upendl mkuu tlka kwetu kuja kwako wacha tuone
 
Kwa wanaofaham siasa za Tanganyika enzi za TANU hadi Tanzania ya CCM, mwenyekiti wa Chama mara zote huwa ndiyo Rais wa Nchi, kwahiyo ni mtu mwenye kila kitu kuanzia vyombo vyote vya dola n.k
Kwahiyo sio rahisi kwa yeye Rais kukubali kuwa kiongozi term moja kwani tayari ana mamlaka zote za uteuzi kuanzia chamani hadi Serikalini.
Ingawa kwa hali ya kisiasa, kiuchumi, kijamii iliyopo nchini kila mtu angependa kuona jambo hili likitokea. Na itapendeza zaidi hata system ingeingilia kati kufanikisha jambo hili ili kunusuru Uchumi na ustawi wa nchi kiujumla kabla hatujaifikia Zimbabwe.
Next month tutakuwa Zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom