CCM dira ya Amani Afrika na ni kioo cha Afrika

ICHIMU

Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
58
Reaction score
12
Hiki ndicho chama kikongwe barani afrika kinachosimamia haki na utu wa mwafrika.vyama vingi barani afrika vimefata misingi bora ya CCM...wanachama wake wanafata misingi ya kuheshimiana na kupendana...hawajui matusi...hawajui ugomvi....wao wamefundishwa maadili.mara nyingi CCM wanazomewa na vijana wa vyama vya kipinzani kutokana na vyama hivyo kutojengwa ktk misingi ya haki na kuheshimiana....sijawahi kuona chama kinachozomea wanachama wa chama kingine kikadumu ktk duru ya kisiasa.mara nyingi vyama hivyo vimekuwa vikihubiri chuki miongoni mwa wananchi,hivyo wanachama hao kuchukiana na hata kufikia kuuwana.hii si afrika tunayoitaka....hii si afrika ya wastaatabu bali ni afrika ya tabu na mateso yanayosababishwa na viongozi wenye uroho na madaraka huku wakiwatumia vijana kama daraja la wao kufikia malengo yao....waafrika wameingia ktk migogoro ya wao kwa wao....waafrika wanauwana kwa kufadhiriwa na wazungu....wazungu wanahitaji hizi malighafi zetu kwa namna yoyote ile....mfano sudan...utajiri mkubwa wa mafuta...nigeria...libya...algeria....equeterial ...pia wanataka kutugombanisha Tanzania kwa sababu ya Gesi....ndugu wananchi naomba tufanye chaguzi kwa amani na tulinde nchi yetu nzuri.
 
mkuu mada hiyo itaondolewa ilishatoka juzi ikaondolewa fasta.
ila ukimsifia lowasa itakaa mpaka mwisho wa JF
 
Sifa nzuri mlizokuwa nazo ziliondoka na Baba wa Taifa. Sasa hivi ni chama cha siasa tu, ndio maana hata mnakimbiwa
 
Bulembo,Mwigulu,Wassira,Lusinde na siku hizi Angela nani kawafunza matusi? Nani aliuwa watu Pemba,Arusha,Tarime,Moro,Igunga kwa sababu za kisiasa?
 
Labda tunaongelea CCM ya wakati wa Nyerere sio hii ya majambazi.
 
CCM ni ile ile, ccm ni ile ile Magufuli for change.

Ganda la muwa la jana,chungu kaona kivundo!

Tanzania inahitaji rais zaidi kuliko mashine ya kutunzia kumbukumbu.

Kwenye uchaguzi ukihangaika sana na wapiga kura wa mpinzani wako,ndio unawakumbusha wakapige kura.
 
Hiki ndicho chama kikongwe barani afrika kinachosimamia haki na utu wa mwafrika.vyama vingi barani afrika vimefata misingi bora ya CCM...wanachama wake wanafata misingi ya kuheshimiana na kupendana...hawajui matusi...hawajui ugomvi....wao wamefundishwa maadili.mara nyingi CCM wanazomewa na vijana wa vyama vya kipinzani kutokana na vyama hivyo kutojengwa ktk misingi ya haki na kuheshimiana....sijawahi kuona chama kinachozomea wanachama wa chama kingine kikadumu ktk duru ya kisiasa.mara nyingi vyama hivyo vimekuwa vikihubiri chuki miongoni mwa wananchi,hivyo wanachama hao kuchukiana na hata kufikia kuuwana.hii si afrika tunayoitaka....hii si afrika ya wastaatabu bali ni afrika ya tabu na mateso yanayosababishwa na viongozi wenye uroho na madaraka huku wakiwatumia vijana kama daraja la wao kufikia malengo yao....waafrika wameingia ktk migogoro ya wao kwa wao....waafrika wanauwana kwa kufadhiriwa na wazungu....wazungu wanahitaji hizi malighafi zetu kwa namna yoyote ile....mfano sudan...utajiri mkubwa wa mafuta...nigeria...libya...algeria....equeterial ...pia wanataka kutugombanisha Tanzania kwa sababu ya Gesi....ndugu wananchi naomba tufanye chaguzi kwa amani na tulinde nchi yetu nzuri.

kioo cha chooni
 
Dira ya Haki Africa ni nchi gani??

Tz inayosifika kwa kuua albino,
EScrow inayotetewa na rais,
twiga kupandishwa ndege,
ndovu kuuawa na pembe hizo kupitishwa uwanja wa ndege bila kushikwa ndio kioo cha Africa?
 
Hiki ndicho chama kikongwe barani afrika kinachosimamia haki na utu wa mwafrika.vyama vingi barani afrika vimefata misingi bora ya CCM...wanachama wake wanafata misingi ya kuheshimiana na kupendana...hawajui matusi...hawajui ugomvi....wao wamefundishwa maadili.mara nyingi CCM wanazomewa na vijana wa vyama vya kipinzani kutokana na vyama hivyo kutojengwa ktk misingi ya haki na kuheshimiana....sijawahi kuona chama kinachozomea wanachama wa chama kingine kikadumu ktk duru ya kisiasa.mara nyingi vyama hivyo vimekuwa vikihubiri chuki miongoni mwa wananchi,hivyo wanachama hao kuchukiana na hata kufikia kuuwana.hii si afrika tunayoitaka....hii si afrika ya wastaatabu bali ni afrika ya tabu na mateso yanayosababishwa na viongozi wenye uroho na madaraka huku wakiwatumia vijana kama daraja la wao kufikia malengo yao....waafrika wameingia ktk migogoro ya wao kwa wao....waafrika wanauwana kwa kufadhiriwa na wazungu....wazungu wanahitaji hizi malighafi zetu kwa namna yoyote ile....mfano sudan...utajiri mkubwa wa mafuta...nigeria...libya...algeria....equeterial ...pia wanataka kutugombanisha Tanzania kwa sababu ya Gesi....ndugu wananchi naomba tufanye chaguzi kwa amani na tulinde nchi yetu nzuri.
TW
nikweri mkuu,tena ndo chama pekee duniani chenye wataluma wakupandisha TWIGA ndege na kung'oa TEMBO meno kweri ccm wanastahli kushushwa daraja wakacheze mchangani.Ikulu mwachieni EL😎
 
Hiki ndicho chama kikongwe barani afrika kinachosimamia haki na utu wa mwafrika.vyama vingi barani afrika vimefata misingi bora ya CCM...wanachama wake wanafata misingi ya kuheshimiana na kupendana...hawajui matusi...hawajui ugomvi....wao wamefundishwa maadili.mara nyingi CCM wanazomewa na vijana wa vyama vya kipinzani kutokana na vyama hivyo kutojengwa ktk misingi ya haki na kuheshimiana....sijawahi kuona chama kinachozomea wanachama wa chama kingine kikadumu ktk duru ya kisiasa.mara nyingi vyama hivyo vimekuwa vikihubiri chuki miongoni mwa wananchi,hivyo wanachama hao kuchukiana na hata kufikia kuuwana.hii si afrika tunayoitaka....hii si afrika ya wastaatabu bali ni afrika ya tabu na mateso yanayosababishwa na viongozi wenye uroho na madaraka huku wakiwatumia vijana kama daraja la wao kufikia malengo yao....waafrika wameingia ktk migogoro ya wao kwa wao....waafrika wanauwana kwa kufadhiriwa na wazungu....wazungu wanahitaji hizi malighafi zetu kwa namna yoyote ile....mfano sudan...utajiri mkubwa wa mafuta...nigeria...libya...algeria....equeterial ...pia wanataka kutugombanisha Tanzania kwa sababu ya Gesi....ndugu wananchi naomba tufanye chaguzi kwa amani na tulinde nchi yetu nzuri.

ni kwa mataahira na mazuzu tu watakaoamini huo upuuzi wako huu
 
Back
Top Bottom