jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
amani huku mkipiga hela sio, hapa lowassa tu
Never ever
Tanzanialabda kwenu
Hata kwa kisu lowassa noDon't resist so Much,El is our president.Amesema Akishinda nchi itatulia tuli kama maji ya mtungi.Please vote for him
Magufuli naye for Change = copy & paste M4C. Sasa nimeamini Magufuli naye anahitaji mabadiliko ambayo hayapatikani ndani ya CCM.
Hata kwa kisu lowassa no
Hiki ndicho chama kikongwe barani afrika kinachosimamia haki na utu wa mwafrika.vyama vingi barani afrika vimefata misingi bora ya CCM...wanachama wake wanafata misingi ya kuheshimiana na kupendana...hawajui matusi...hawajui ugomvi....wao wamefundishwa maadili.mara nyingi CCM wanazomewa na vijana wa vyama vya kipinzani kutokana na vyama hivyo kutojengwa ktk misingi ya haki na kuheshimiana....sijawahi kuona chama kinachozomea wanachama wa chama kingine kikadumu ktk duru ya kisiasa.mara nyingi vyama hivyo vimekuwa vikihubiri chuki miongoni mwa wananchi,hivyo wanachama hao kuchukiana na hata kufikia kuuwana.hii si afrika tunayoitaka....hii si afrika ya wastaatabu bali ni afrika ya tabu na mateso yanayosababishwa na viongozi wenye uroho na madaraka huku wakiwatumia vijana kama daraja la wao kufikia malengo yao....waafrika wameingia ktk migogoro ya wao kwa wao....waafrika wanauwana kwa kufadhiriwa na wazungu....wazungu wanahitaji hizi malighafi zetu kwa namna yoyote ile....mfano sudan...utajiri mkubwa wa mafuta...nigeria...libya...algeria....equeterial ...pia wanataka kutugombanisha Tanzania kwa sababu ya Gesi....ndugu wananchi naomba tufanye chaguzi kwa amani na tulinde nchi yetu nzuri.
Tanzania
labda kwenu
amani huku mkipiga hela sio, hapa lowassa tu
Dira ya Haki Africa ni nchi gani??
Tz inayosifika kwa kuua albino,
EScrow inayotetewa na rais,
twiga kupandishwa ndege,
ndovu kuuawa na pembe hizo kupitishwa uwanja wa ndege bila kushikwa ndio kioo cha Africa?
Hiki ndicho chama kikongwe barani afrika kinachosimamia haki na utu wa mwafrika.vyama vingi barani afrika vimefata misingi bora ya CCM...wanachama wake wanafata misingi ya kuheshimiana na kupendana...hawajui matusi...hawajui ugomvi....wao wamefundishwa maadili.mara nyingi CCM wanazomewa na vijana wa vyama vya kipinzani kutokana na vyama hivyo kutojengwa ktk misingi ya haki na kuheshimiana....sijawahi kuona chama kinachozomea wanachama wa chama kingine kikadumu ktk duru ya kisiasa.mara nyingi vyama hivyo vimekuwa vikihubiri chuki miongoni mwa wananchi,hivyo wanachama hao kuchukiana na hata kufikia kuuwana.hii si afrika tunayoitaka....hii si afrika ya wastaatabu bali ni afrika ya tabu na mateso yanayosababishwa na viongozi wenye uroho na madaraka huku wakiwatumia vijana kama daraja la wao kufikia malengo yao....waafrika wameingia ktk migogoro ya wao kwa wao....waafrika wanauwana kwa kufadhiriwa na wazungu....wazungu wanahitaji hizi malighafi zetu kwa namna yoyote ile....mfano sudan...utajiri mkubwa wa mafuta...nigeria...libya...algeria....equeterial ...pia wanataka kutugombanisha Tanzania kwa sababu ya Gesi....ndugu wananchi naomba tufanye chaguzi kwa amani na tulinde nchi yetu nzuri.
Hasante sana Mkuu
Bulembo,Mwigulu,Wassira,Lusinde na siku hizi Angela nani kawafunza matusi? Nani aliuwa watu Pemba,Arusha,Tarime,Moro,Igunga kwa sababu za kisiasa?
Kumbe ngoja tuone
Hata kwa kisu lowassa no
Lowasa ndiye kila kituKweli ccm imezeeka ikae kando tusonge mbele
huyo jamaa na rostam tunawalaumu kwa kutuwekea kikwete ikulu.
tungekuwa na mtu imara ikulu magufuli angekuwa hana mpinzani muda huu