CCM dira ya Amani Afrika na ni kioo cha Afrika

CCM dira ya Amani Afrika na ni kioo cha Afrika

mkuu mada hiyo itaondolewa ilishatoka juzi ikaondolewa fasta.
ila ukimsifia lowasa itakaa mpaka mwisho wa JF

Mmesafika hapo! yaani mnaamini hata hapa JF mnaonewa?! itabidi hapa pia mtumie Policcm basi
 
Ni watanzania wenyewe na siyo chama chochote cha siasa ndiyo wamejilea katika hulka ya uoga!Chama kandamizi kamwe hakiwezi kulea amani.
 
Tanzania ni nchi ya watu wavumilivu,ukitafsiri amani kwa mapana yake ni kama hakuna,chukulia mfano wa mapigano ya wakulima na wafugaji huko mvomero na kiteto,mauaji ya mwangosi,na matumizi ya mabavu na nguvu za kupitiliza unaofanywa na polisi,unaweza kujiuliza kama kuna amani inakuwaje polisi wanazunguka mtaan na magari ya kunyunyiza maji ya kuwasha kwnye ishu ndogo,ktk nchi yenye amani mtu anaenda msibani nguvu kubwa inatumika kumzuia,kwa kifupi tanzania ni nchi ya uvumilivu,amani itoke wapi watu wanakula mlo mmoja???
 
Back
Top Bottom