CCM, CUF waungana kusherehekea ushindi Dodoma

Binafsi Haiumizi kichwa coz,CUF=CCM-B!.........ivi umati wote ule wa wafuasi wa CUF wakati wa kampeni za Igumu na matokeo eti kura 2,000!!!!! na wao hawalalamiki.....binafsi I dont get the real picture!
 
Kwani kuna ubaya? Mbona kuna ndoa ya Tanganyika kuolewa na Zanzibar? nasemaa kuolewa na Zanzibar kwa kuwa baada ya ndoa jina Tanganyika limekufa na Zanzibar lipo. Na nnavojuwa tabia za wenzetu wanaojidai wameendelea ukiolewa unafuta jina lako na linabaki la mume tu.
Mbwa leo ameongea point
 
Mwe! kwa hiyo wanaCUF NI VIBURUDISHO VYA wanaCCM????????


ukiona kuna mtu anaumia juu ya mahusiano ya wenza wa 2 basi ujue kama anaona wivu juu ya mahusiano ya wenza hawa na anatamani angekuwa yeye..hili hushindikana kutokana na dini yake... CDM chenye mfumo kristo usioruhusu uke wenza.
 
Umeambiwa gari zilikuwa nduki kjwelikweli sada angepiga vipi picha wewe.....................kwani hata ukibisha cuf sio ccm-b?......wale ni wanandoa na ni haki yao kushehekea ila hii nadhani ni taarifa tu km taarifa zingine za wanadoa.......
mtaweweseka sana mwaka huu kipigo mlichopata igunga hamtakisahau,mtabaki kuzusha unafiki tu,ila watzania hawawashangai mnajulikana kwa unafiki na uzandiki nawizi pia.
 
Back
Top Bottom