CCM, CUF waungana kusherehekea ushindi Dodoma

Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM kuenjoy ushindi wa dhuluma

Kama kweli sishangai...
 
ha ha ha ha ha ha haiya haiya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea kwaheri wan cuf kuonana majaliwa ..
 
Ebana ee!ivi padre slaa ana wake wangapi?mwenyekiti wa chaga development manifesto hajambo?
 
Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM kuenjoy ushindi wa dhuluma

Acha wivu wa kike mmeshindwa inawauma sana , acha wenye nchi yao washeherekee ushindi wa kishindo baada ya kuwainamisha cdm kidevu chini.
 
Wamoja hao..!!! Kwan hata Helcopter yao hukuona zote zilikuwa zinasumbua sumbua!!! Ina maana walikodi sehem moja!!
 
Usisahau walimpa Bwana wao ilani yao ya uchaguzi ili kudumisha upendo

Kungekuwa na kapicha kidogo ingekuwa safi,lakini sishangai kwa sababu hata baada ya uchaguzi mkuu 2010, CUF walienda kumpongeza na kusherehekea ushindi wa ****** magogoni,hivyo si kitu kipya ni used.
 
Kwani kuna ubaya? Mbona kuna ndoa ya Tanganyika kuolewa na Zanzibar? nasemaa kuolewa na Zanzibar kwa kuwa baada ya ndoa jina Tanganyika limekufa na Zanzibar lipo. Na nnavojuwa tabia za wenzetu wanaojidai wameendelea ukiolewa unafuta jina lako na linabaki la mume tu.
It is like childish argument!Kufa kwa jina hakutoshi ku stabstanciate uume au uke wa wanandoa!Mwanaume ni mwanaume tu hata kama akivaa khanga atabaki kuwa mwanaume tu!!
 
Mke wa mwenzio usimvalie koti..... Mke wa mwenzio usijipitishe pitishe........
 
hakuna la ajbu hapo wacha wakashangilie kwa raha zao ndoa yao sio ya kificho inajulikana isiwaonee wivu umesahau sharifu ilisema akipewa uchair anrudi ccm A
 
Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM kuenjoy ushindi wa dhuluma

Sioni kama kuna cha kushangaza hapa kama bwana na bibi wakiongozana hali mkijuwa kwamba ni wanandoa.ccm inamtendea haki mkewe jamani mlitaka bibi aachwe Igunga ili iweje?
 
Umeambiwa gari zilikuwa nduki kjwelikweli sada angepiga vipi picha wewe.....................kwani hata ukibisha cuf sio ccm-b?......wale ni wanandoa na ni haki yao kushehekea ila hii nadhani ni taarifa tu km taarifa zingine za wanadoa.......

mtoa mada nikikuita mnafiki,mzandiki,mfitini na muongo mkubwa nitakua nimekosea?kama kweli wekapicha utuoneshe hiyogari yenye bendera ya cuf ktk msafara wa ccm,wewe ni mzandiki.
 
Wahenga walisema.........."ukipenda boga,penda na ua lake babu eee"?
 
Back
Top Bottom