CCM, CHADEMA na CUF live radio wapo

CCM, CHADEMA na CUF live radio wapo

Tukiacha ushabiki, huyu wa CDM naona kawashinda wenzake kwa hoja. Huwezi kukurupuka kuwa rais tutakayemchagua baada ya huyu asiwe na umri zaidi ya miaka 41, umri wa rais unatusaidia nini? Tunahitaji rais anayejua shida zetu na mwenye uwezo wa kutuondolea shida hizo. Ukiona mtu anaegema kwenye dini, kabila, jinsia, umri na vitu vinavyofanana na hivyo huyo kaishiwa hoja.
 
Alau.... vijana wakiwezeshwa zaidi wataweza!

au ikishindikana wataendelea KUWA TAIFA LA KESHO!!!

KASUKU WATAENDELEA KUWA KASUKU... na IKO SIKU WATU WATAJUA KUTOFAUTISHA KASUKU NA BINADAMU...

BADO HAKUNA VYAMA PINZANI TANZANIA!!

KWANZA TUUJENGE UZALENDO, TUJITAMBUE, KISHA TUANZISHE CHAMA KIPYA KISICHOKUWA NA SHOMBO LA CCM.
 
Asante mkuu, Hakuna mwenye namba za simu za radio hii? Maana nasikia mara nyingine wasikilizaji wanapata fursa ya kuuliza maswali/kuchangia.
 
Alau.... vijana wakiwezeshwa zaidi wataweza!

au ikishindikana wataendelea KUWA TAIFA LA KESHO!!!

KASUKU WATAENDELEA KUWA KASUKU... na IKO SIKU WATU WATAJUA KUTOFAUTISHA KASUKU NA BINADAMU...

BADO HAKUNA VYAMA PINZANI TANZANIA!!

KWANZA TUUJENGE UZALENDO, TUJITAMBUE, KISHA TUANZISHE CHAMA KIPYA KISICHOKUWA NA SHOMBO LA CCM.
Mkuu! kwanza nakuheshimu sana....sometime huwa nafatilia hoja zako hasa kwenye upande wa siasa. Kusema kweli mie binafsi nashindwa kukuelewa na nafikiri sin-takuja kukuelewa kamwe. Mara nyingi hoja zako ni za kuwakatisha tamaa watu waliojitoa muhanga kuiondoa serikali ya ccm madarakani. Mara unasema oooh Tanzania hakuna vyama vya upinzani...mara oooh Tanzania hakuna mtu makini anaeweza kupambana na wadharimu ccm na kushinda urais....mara oooh mimi siipendi siasa kabisa nk. Hivi kaka kwani unalazimishwa kuchangia kwenye hizi topic zetu za kisiasa? wee kama hupendi na umelizika na unyama wa ccm si ukae tu kimya kuliko kuchangia pumba? si uende kwenye majukwaa mengine tu? kwa nini unapenda kuwakatisha watu tamaa? Hivi wananchi wa Iringa,Mwanza,Moshi,Mbeya,Arusha,Kigoma,Singida,Mara,Shinyanga na Dar' hawa wote unawaona wajinga kwa kuwatosa ccm kwenye uchaguzi uliopita? hawa wote unawaona wajinga kwa kuichagua CDM na NCCR? ila wewe ndiye mjanja na mwenye akili? Acha hizo mkuu....unafiki siyo mzuri! bora useme tu kuwa wewe ni ccm au cuf watu tutakuelewa kuliko kila siku kutuletea hizi pumba zako hapa jamvini.
Mwisho nakuambia hivi.... watu kama nyinyi walikuwepo Kenya,Zambia,Malawi,Namibia,Egypti,Tunis na Libya,lakini mwisho wa siku walishindwa kwa aibu....na nguvu ya umma ikashinda kwa kishindo. Tafakari kaka....
 
Wanajadili nini?
Kwani cuf na ccm kuna tofauti gani?......siamini km wanaweza kupingana kwa hoja za msingi najua hapo itakuwa chadema vs ccm and cuf (ccm-b)...
Ngugu kwani CHADEMA nayo si kwenye kundi? Niliona jana kijiti cha uongozi kinatoka kwa Mbowe kwenda kwa Profesa Lipumba na kutoka kwa Slaa kwenda kwa mbatia. Sasa sijui tofauti unazosema ziko wapi?
 
wewe sema tuwashe redio zetu. utatujuza maana yake nini? kwani umeambiwa sie hatuna redio?
acha huo upuuzi wako,wewe unadhani wote 2na access na hyo redio?. Acha a2juze na wewe kama unaweza kuckiliza tune frequence umepewa sasa tatizo lako ni nini?
 
Back
Top Bottom