Elections 2010 CCM Bingwa wa ku copy an ku paste lakini inawashinda

Obama08

Senior Member
Sep 17, 2010
181
1
Miaka ya 1996 while in Primary school, kulikuwa na mwanafunzi mmoja hajui kabisa lolote,
yaani ni mbumbumbu, mjinga whatever you call him au Mungu hakumjalia kipaji cha kujifunza, siku moja aliibia mtihani kwa mwenzake aliye kaa karibu yake wa darasa la pili, swali la mtihani lilikuwa hivi.
Andika jina la baba yako kwa HERUFI KUBWA. jibu. Akaandika jina la baba wa mtoto wa aliyakuwa anaibia, nakumbuka aliandika EMANUELI wakati sio, walimu walimfahamu ilikuwa viroja na vioja,


Look this halafu linganisha na CCM
1.Elimu ya bure haiwezekani, jana Maghembe profesa fake eti elimu itakuwa bure hadi fm 4, ajabu
kweli, mlikuwa wapi? Dr Slaa akisema mnakataa kishaa mnafuata upepo
2. Vifaa vya ujenzi, saruji, nondo na bati, juzi katibu mkuu wizara ya viwanda na masoko kasema zishushwe bei, yaani aibu tupu, no creativity, kazi kula kulala, wananchi wameshashtukia
3. EPA walisema ni uzushi, baadae heeeee kila mtu akajua it is real na ni baada ya
Dr. Slaa kutangaza pale Mwembeyanga live
4. Milioni 700 kwa matundu manne ya vyoo, shule 4 = 3.2 bilioni pale bagamoyo, CAG
kaulizwa hakukanusha duuuuuuuuuu
5. Et, nk, na mengine mengi siwezi orodhesha

Lakini CCM wanasema tu ukiuliza watashushaje bei ya vifaa vya ujenzi hawana jibu,
wenyewe hata sh 200 wakipunuza watasema wameshusha hawajali kazi yao kutuhadaa kipindi hiki, hata kukopy na kupaste majibu ya Dr Slaa inawashinda, ukiona mtu anashindwa KUIGA hata jema huyo hafai kuongaza nchi, ZERO creativity, lalala tu,
sasa sikiliza elimu yao bure hadi fm 4 ndio itatoa maduanzi ile mbaya,

USHAURI
CCM hamsomi nyakati period, ondokeni
 
Back
Top Bottom